Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,766
- 239,436
Huu ni msimamo ninaouweka kutokana na unyama uliotendwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro wa kuwanyima Chadema uwanja wa kufanyia shughuli ya kumuaga mpendwa wao Mzee Ndesa .
Huu ndio ukweli , hakuna kabisa nia njema ya ccm kwa wapinzani , kuanzia bungeni hadi misibani , hivi Katibu msaidizi wa Chadema John Mnyika unamchanganya vipi na Mwanaccm Job Ndugai aliyemdhalilisha bungeni bila sababu yoyote ?
Ifike wakati Chadema muwatendee haki wanachama na viongozi wenu kwa unyama wanaotendewa katika nchi hii.
Hata wakati wa Mazishi ya Kamanda Mawazo hili halikuwepo , kwahiyo msishangae .
Natanguliza shukrani .