Wazo binafsi: Great thinker f.m

Wazo binafsi: Great thinker f.m

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Usingizi umekata nimeamka limenijia wazo kwa nini j.f isianzishe radio station kwa ajili ya magreat thinker utaratibu uwe huu huu kama hapa jukwaani tu ili kujitangaza kitaifa na kimataifa. Au mnaonaje wadau?
 
Ngoja waje japo, naona The bold walimpa ban sasa ukitema madini redioni si uongozi wa jukwaa watalipua kituo cha redio yao wenyewe!?

Na usishangae hata hii comment yangu ikasababisha huu Uzi wako kung'olewa kucha kutoka humu jukwaani.
 
Tutaruhusiwa kipiga simu na kujitambulisha kwa ID zetu?

...halo
...halo tunaongea na nani kutoka wapi?
...unaongea na Mr Miller kutoka sweden, napenda kutuma salam kwa The bold, Perfectz, Poise, No escape na Faiza foxy...nawaambia Mungu ni mwema bado tunazisoma namba.

Teh teh teh.....
 
Tutaruhusiwa kipiga simu na kujitambulisha kwa ID zetu?

...halo
...halo tunaongea na nani kutoka wapi?
...unaongea na Mr Miller kutoka sweden, napenda kutuma salam kwa The bold, Perfectz, Poise, No escape na Faiza foxy...nawaambia Mungu ni mwema bado tunazisoma namba.

Teh teh teh.....
Hahahahaa mkuu umeua aseee.All the way from Sweden
 
Haya majukwaa si ndio yatakuwa vipindi vya radio yetu ...
 
We can't afford to go back to that technology it's not worth it
 
yaani mkiweka redio ndo mwisho wa jamiiforum, polisi watakuwa wakipishana kutwa nzima, pia ID fake ndo itakuwa mwisho wake.
 
Back
Top Bottom