Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 810
Mama Shikamoo pole na majukumu ya kulipambania Taifa letu Kwa ujumla wake.
Sina mengi sana ila nataka kujua kuhusu huyu mdogo wetu,kijana, wetu Maarufu Kwa jina la Anko T.
Huyu kijana Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikimuona kwenye mitandao ya kijamii Kwakweli nashindwa nimuweke kundi lipi kati ya KE au ME.
Vaa yake,Ongea yake na cheza yake inatatiza sana. Je serikali imeshindwa vipi kumchukua na kwenda kumpima kujua ulijari wake Kisha kukaa nae na kumwambia wanaume hatupaswi tuwe Hivi?
Kinachositikisha zaidi nikuona uungwaji mkono unatoka Kwa wanawake Hivi uchungu wenu siku hizi hauna maana kabisa kiasi hicho?
Mkae mkijua huyu Anko Kuna wimbi la Watoto wakiume watamuiga na matokeo yake baada ya miaka michache mbele mtaona Watoto wakina Anko T wengi kama uyoga.
Je huko mbele kama Taifa tutakuwa na jeshi kweli? Ikitokea dharula vijana tunahitajika kwenda kulipigania Taifa huyu Anko T atakuwa mmoja wetu kweli?
Haya haya tulisema kuhusu wakina Joti na yule kijana mwingine jina nimesahau kuwa maigizo Yao Yana mlengo wa kushoto ila hatukueleweka matokeo yake ndo haya ya akina Anko T na wengine wengi.
Mama Nina uhakika una kazi nzito mno ila unaweza sana. Binafisi nakupa 5 Tena na Tena.
Ahsantee sana.