muhosni
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 1,108
- 152
- Thread starter
- #41
Muhosin unahitaji ukombozi wa akili, (saikolojia) serious, nitafanya maombi kwa ajili yako. unaichukia sana serikali. It is believed 90% ya ajali barabarni husababishwa na uzembe wa madereva. Sio suala la kuilaumu serikali. Kuna mwanafasihi mmoja anasema if u want to see changes, be a change agent, that look at urselef kwanza. Hata great philisopher Jesus anasema jitoe kibanzi cha jicho lako kwanza. take ur part first. Inawezekana hunaa lolote ambalo umefanya zaidi ya kupiga kelele humu JF. Ukipanda gari dereva akienda mwendo kasi waona sawa tu, akiendesha huku anaongea na simu waona bwee tu, ajali ikitokea u blame the government. Binadamuuuu.
Mamaa, unapatikana wapi nikufuate unikomboe kisaikolojia? Maombi yangekuwa yanafanya kazi yusingekuwa na shida Hapa duniani, hata ajali zisingekuwepo!
Abiria hupiga simu polisi kuripoti udereva mbaya, ama polisi hawafanyii kazi au wanakamata na kupokea rushwa.
Remmy, maneno mengi tuache. Fanyeni jambo moja tu, moja tu. Kamata makosa yote ya usalama barabarani fikisha
Watuhumiwa mahakamani au lipisha faini halali. Ndani ya mwezi mmoja ajali zitapungua zaidi ya nusu.
Tatizo la ajali hizi za tz ni polisi kupokea rushwa, siyo barabara. Je hilo siyo tatizo la serikali? Ukiambia serikali ukweli unaichukia?