Waziri wa viwanda: Bei ya sukari isizidi sh 2500

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,906
2,885
Waziri wa Viwanda na Biashara mheshmiwa Charles Mwijage amewaagiza wafanyabiashara wote nchini kuuza sukari kwa bei elekezi ya shs 2250 na watakaouza zaidi ya sh 2500 kwa kilo watachukuliwa hatua kali sana.
 
Waziri mkuu asimame mbele ya kamera na kututangazia kama kipindi kile alivyofanya.
Hii serikali imeshindwa mapema kuliko tulivyotarajia.
 
Ahahaha wananchi wengi wamekua vipofu wakija kuzinduka 10yrs yale yale ya mzee wa msogaaaaa utasikia amearibu nchi kabs yani afai
 
Kukurupuka ni Janga la Kitaifa... Tunasubiri Tamko lingine hili halina Mashiko... kwa Sasa tushazoea na kuielewa hii ni Serikali ya Aina Gani..... CCM Oyeee... Nakumbuka Makongoro alisema Kofia Oyeee
 
Back
Top Bottom