Mambo ya kula na kipofu, usimshike mkonohahahaaa tunacheka kama mazuri... wameshasoma akili za mKuu wa kAyaa wanacheza nae tu
duh, nilikua sijaiona hiiiMwingine huyu hapa[emoji116] View attachment 817064
Hivi akitokea simba huko alietimuliwa na wenzie kwenye kundi si atawamaliza wote huko porini