Waziri wa Ulinzi ajiuzulu - Uingereza

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
179
waziri wa ulinzi wa uingereza ajiuzulu kwa kuitumia ofisi ya uwaziri kwa mambo yake binafsi ikwapo kuiuzia Sri-Lanka silaha km mtu binafsi na sio serikali!Ngeleja na Mkulo wajifunze uwajibikaji!
source. idhaa ya BBC
 
Fahari MJ

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
422
128
waziri wa ulinzi wa uingereza ajiuzulu kwa kuitumia ofisi ya uwaziri kwa mambo yake binafsi ikwapo kuiuzia Sri-Lanka silaha km mtu binafsi na sio serikali!Ngeleja na Mkulo wajifunze uwajibikaji!
source. idhaa ya BBC

mhhhhhhh ebu fafanua hapo hizo taarifa ni kwa mujibu wa vyanzo gani kwamba aliuza silaha kama mtu binafsi.

Mi nimesikia anatuhumiwa kutumia sfari zake za kiofisi kuwa karibu na rafiki yke amabye hkuwa muajiriwa wa seriali . Amefanyazira sehemu mbali mbli nchi mbali mbali akiwa na huyo jamaa. Ameshindwa kutofautisha majukumu ya kiofisi na kirafiki.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom