Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ndiyo chanzo cha No Reforms No Elections

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
17,562
Reaction score
27,633
VIDEO:
@TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.

View: https://x.com/Jambotv_/status/1913827455850119224?t=JWa3mF0HEhHnqIvfLSZ0Jg&s=0

Hao ni RC kupitia Askofu Pissa, President wa TEC kwenye ibada ya Lindi

Hiyo ni KKKT -Morogoro

Vuguvugu la No Reforms No Elections ndilo lilitawala kwenye sherehe za Pasaka ya mwaka huu kupitia matamko ya Maaskofu kutoka kwenye madhehebu ya "mainstream"

Hii tena siyo ya kubeza bali ni kuchukua hatua bila kujali Tundu anakabiliwa na kesi ya uhaini na CHADEMA hawajasaini maadili ya uchaguzi.

Nini kimetufikisha hapa??
Ni matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 unaosimamiwa na TAMISEMI. TAMISEMI ina Wakurugenzi wa Halmashauri (DEDs) ambao ndio walikuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye majimbo na ndiyo waliotangaza matokeo, Boss wao ni Mohamed Mchengerwa ambaye ni mkwe wa Rais Samia.

Mchengerwa kutaka kumuonyesha mama kuwa anasimamia "masilahi" yake, akaamua kuazima ukurasa wa faili la "UCHAFUZI" wa 2019 chini ya Dikteta Magu.

Ushauri:
Samia huyu Mchengerwa atakuharibia pia uchaguzi mkuu wa 2025. Mtoe mkweo kwenye hiyo wizara, utapata uungwaji mkono wa kutosha
 
Sasa kama wewe ccm umeshanusa tatizo na ku declare kwamba uchaguzi wa 2019, 2020, 2024 haukua uchaguzi bali UCHAFUZI kupitia tamisemi, basi CCM kwa maslahi na AMANI ya taifa hili murudi mezani ili tusuke kanuni za HAKI kwa uchaguzi wa heshima kwa wananchi, serikali na viongozi wake.
 
Siyo suala la kuwa CCM bali ninkwa masilahi mapana ya nvhi yetu. TAMISEMI si msimamizi wa uchaguzi mkuu, lakini inatoa usaidizi wa kiutendaji na rasilimali kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Uhusiano huu ni usio wa moja kwa moja lakini muhimu sana kwa mafanikio ya uchaguzi mkuu na hivyo waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI bado ana influence kwenye uchaguzi huo kwa namna ambavyo TAMISEMI inashiriki katika uchaguzi huo

Mchengerwa ni kimeo, na ndiye atakuwa chanzo cha Samia kukwama
 
Sasa kama wewe ccm umeshanusa tatizo na ku declare kwamba uchaguzi wa 2019, 2020, 2024 haukua uchaguzi bali UCHAFUZI kupitia tamisemi, basi CCM kwa maslahi na AMANI ya taifa hili murudi mezani ili tusuke kanuni za HAKI kwa uchaguzi wa heshima kwa wananchi, serikali na viongozi wake.
Mchengerwa ni kimeo na ndiye atamkwamisha Samia
 
VIDEO:
@TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.

View: https://x.com/Jambotv_/status/1913827455850119224?t=JWa3mF0HEhHnqIvfLSZ0Jg&s=0

Hao ni RC kupitia Askofu Pissa, President wa TEC kwenye ibada ya Lindi

View attachment 3310802

Hiyo ni KKKT -Morogoro

Vuguvugu la No Reforms No Elections ndilo lilitawala kwenye sherehe za Pasaka ya mwaka huu kupitia matamko ya Maaskofu kutoka kwenye madhehebu ya "mainstream"

Hii tena siyo ya kubeza bali ni kuchukua hatua bila kujali Tundu anakabiliwa na kesi ya uhaini na CHADEMA hawajasaini maadili ya uchaguzi.

Nini kimetufikisha hapa??
Ni matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 unaosimamiwa na TAMISEMI. TAMISEMI ina Wakurugenzi wa Halmashauri (DEDs) ambao ndio walikuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye majimbo na ndiyo waliotangaza matokeo, Boss wao ni Mohamed Mchengerwa ambaye ni mkwe wa Rais Samia.

Mchengerwa kutaka kumuonyesha mama kuwa anasimamia "masilahi" yake, akaamua kuazima ukurasa wa faili la "UCHAFUZI" wa 2019 chini ya Dikteta Magu.

Ushauri:
Samia huyu Mchengerwa atakuharibia pia uchaguzi mkuu wa 2025. Mtoe mkweo kwenye hiyo wizara, utapata uungwaji mkono wa kutosha

No. Mchengerwa amefanya kazi kwa Maslahi ya familia. Hiyo kazi alipewa mbele ya Taifa huku akisifiwa kuwa ANA KIFUA KIPANA.
 
VIDEO:
@TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.

View: https://x.com/Jambotv_/status/1913827455850119224?t=JWa3mF0HEhHnqIvfLSZ0Jg&s=0

Hao ni RC kupitia Askofu Pissa, President wa TEC kwenye ibada ya Lindi

View attachment 3310802

Hiyo ni KKKT -Morogoro

Vuguvugu la No Reforms No Elections ndilo lilitawala kwenye sherehe za Pasaka ya mwaka huu kupitia matamko ya Maaskofu kutoka kwenye madhehebu ya "mainstream"

Hii tena siyo ya kubeza bali ni kuchukua hatua bila kujali Tundu anakabiliwa na kesi ya uhaini na CHADEMA hawajasaini maadili ya uchaguzi.

Nini kimetufikisha hapa??
Ni matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 unaosimamiwa na TAMISEMI. TAMISEMI ina Wakurugenzi wa Halmashauri (DEDs) ambao ndio walikuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye majimbo na ndiyo waliotangaza matokeo, Boss wao ni Mohamed Mchengerwa ambaye ni mkwe wa Rais Samia.

Mchengerwa kutaka kumuonyesha mama kuwa anasimamia "masilahi" yake, akaamua kuazima ukurasa wa faili la "UCHAFUZI" wa 2019 chini ya Dikteta Magu.

Ushauri:
Samia huyu Mchengerwa atakuharibia pia uchaguzi mkuu wa 2025. Mtoe mkweo kwenye hiyo wizara, utapata uungwaji mkono wa kutosha

..KIKATIBA, kwasababu wizara ya Tamisemi iko katika ofisi ya Raisi, basi Raisi ndiye Waziri Kamili wa Tamisemi.

..Kwa msingi huo aliyesimamia na kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa ni Dr.Samia Suluhu Hassani.

..Waziri wa Nchi hana mamlaka kamili kama waliyonayo Mawaziri wengine ktk wizara kama za Ardhi, Mambo ya Nje, etc.
 
Siyo suala la kuwa CCM bali ninkwa masilahi mapana ya nvhi yetu. TAMISEMI si msimamizi wa uchaguzi mkuu, lakini inatoa usaidizi wa kiutendaji na rasilimali kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Uhusiano huu ni usio wa moja kwa moja lakini muhimu sana kwa mafanikio ya uchaguzi mkuu na hivyo waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI bado ana influence kwenye uchaguzi huo kwa namna ambavyo TAMISEMI inashiriki katika uchaguzi huo
Stuxnet wewe binafsi baada ha kuona mapungufu hayo je unaoba kuna umuhimu wa Kufanya Reform?

Nimefurahi kuona andiko lako siku ya leo.
 
VIDEO:
@TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.

View: https://x.com/Jambotv_/status/1913827455850119224?t=JWa3mF0HEhHnqIvfLSZ0Jg&s=0

Hao ni RC kupitia Askofu Pissa, President wa TEC kwenye ibada ya Lindi

View attachment 3310802

Hiyo ni KKKT -Morogoro

Vuguvugu la No Reforms No Elections ndilo lilitawala kwenye sherehe za Pasaka ya mwaka huu kupitia matamko ya Maaskofu kutoka kwenye madhehebu ya "mainstream"

Hii tena siyo ya kubeza bali ni kuchukua hatua bila kujali Tundu anakabiliwa na kesi ya uhaini na CHADEMA hawajasaini maadili ya uchaguzi.

Nini kimetufikisha hapa??
Ni matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 unaosimamiwa na TAMISEMI. TAMISEMI ina Wakurugenzi wa Halmashauri (DEDs) ambao ndio walikuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye majimbo na ndiyo waliotangaza matokeo, Boss wao ni Mohamed Mchengerwa ambaye ni mkwe wa Rais Samia.

Mchengerwa kutaka kumuonyesha mama kuwa anasimamia "masilahi" yake, akaamua kuazima ukurasa wa faili la "UCHAFUZI" wa 2019 chini ya Dikteta Magu.

Ushauri:
Samia huyu Mchengerwa atakuharibia pia uchaguzi mkuu wa 2025. Mtoe mkweo kwenye hiyo wizara, utapata uungwaji mkono wa kutosha

Tulishasema hapa uchaguzi wa 2024 ndiyo chanzo cha yote haya hata Mbowe kushidwa sababu kubwa ni hiyo
 
Tulishafika hatua ya kutoamini tena vybo vyetu vya kusimamia uchaguzi, kuna either uchaguzi ufutwe kuokoa pesa au kurudi mezani.
Tukiendelea kushupaza shingo tutaanza kuwindana mmoja baada ya mwingine na kutoana rohoo kama Burudi make tunaishi wote hapa Tanzania.
 
Lazima CCM na Serikali yake wasikie maoni ya walio wengi. Hata hao viongozi wa makanisa ni wawakilishi wa wafuasi wa madhehebu yao.

Kuanzia 2019, 2020 na wa mwaka jana 2024 zimekuwa siyo chaguzi bali "chafuzi". Zimewanyima wananchi viongozi sahihi.

To be honest kwenye makazi yangu hapa Tawi la Kimara Bucha sikushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa nilipoona wagombea ni CCM pekee. Uchaguzi wa NDIYO/ HAPANA ulikwisha kipindi cha chama kimoja mwaka 1990 tulipomchagua AH Mwinyi.

Mabadiliko kwenye sheria ya uchaguzi ni lazima yafanyike na naamini yatafanyika kwa vile joto limezidi kupanda.

Sioni wananchi wakienda kupiga kura Oktoba kama hakutakuwa na mabadiliko. Na kama Serikali italazimisha kuendelea na uchaguzi wa Oktoba kwa mfumo uliopo, basi hatma ya Taifa letu itakuwa kwenye sintofahamu.

Ila kila kitu ni bora kufanyike kwa amani na siyo kwa uasi au fujo
Stuxnet wewe binafsi baada ha kuona mapungufu hayo je unaoba kuna umuhimu wa Kufanya Reform?

Nimefurahi kuona andiko lako siku ya leo.
 
VIDEO:
@TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.

View: https://x.com/Jambotv_/status/1913827455850119224?t=JWa3mF0HEhHnqIvfLSZ0Jg&s=0

Hao ni RC kupitia Askofu Pissa, President wa TEC kwenye ibada ya Lindi

View attachment 3310802

Hiyo ni KKKT -Morogoro

Vuguvugu la No Reforms No Elections ndilo lilitawala kwenye sherehe za Pasaka ya mwaka huu kupitia matamko ya Maaskofu kutoka kwenye madhehebu ya "mainstream"

Hii tena siyo ya kubeza bali ni kuchukua hatua bila kujali Tundu anakabiliwa na kesi ya uhaini na CHADEMA hawajasaini maadili ya uchaguzi.

Nini kimetufikisha hapa??
Ni matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 unaosimamiwa na TAMISEMI. TAMISEMI ina Wakurugenzi wa Halmashauri (DEDs) ambao ndio walikuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye majimbo na ndiyo waliotangaza matokeo, Boss wao ni Mohamed Mchengerwa ambaye ni mkwe wa Rais Samia.

Mchengerwa kutaka kumuonyesha mama kuwa anasimamia "masilahi" yake, akaamua kuazima ukurasa wa faili la "UCHAFUZI" wa 2019 chini ya Dikteta Magu.

Ushauri:
Samia huyu Mchengerwa atakuharibia pia uchaguzi mkuu wa 2025. Mtoe mkweo kwenye hiyo wizara, utapata uungwaji mkono wa kutosha

Hadi wewe CCM nguli umenyanyua mikono??? Kweli nchi hii inaenda kupata Mabadiliko ya kweli kutoka kwa Mkoloni mweusi.

Nakubaliana naww kuhusu Mchengerwa. Niliwahi andika humu kuwa nishangaa sana alivyopata Uwaziri maana aliondoka Mahakama kwa kuresign baada ya kusikia tetesi kuwa wanaanza kumchunguza kwa tuhuma za Rushwa akiwa Katibu wa Jaji Kiongozi Jaji Jundu.

Endapo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana 2024 ungekuwa huru na wa haki, hoja za Chadema kuhusu No Reform No Election zisingekuwa na mashiko.
 
3
Lazima CCM na Serikali yake wasikie maoni ya walio wengi. Hata hao viongozi wa makanisa ni wawakilishi wa wafuasi wa madhehebu yao.

Kuanzia 2019, 2020 na wa mwaka jana 2024 zimekuwa siyo chaguzi bali "chafuzi". Zimewanyima wananchi viongozi sahihi.

To be honest kwenye makazi yangu hapa Tawi la Kimara Bucha sikushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa nilipoona wagombea ni CCM pekee. Uchaguzi wa NDIYO/ HAPANA ulikwisha kipindi cha chama kimoja mwaka 1990 tulipomchagua AH Mwinyi.

Mabadiliko kwenye sheria ya uchaguzi ni lazima yafanyike na naamini yatafanyika kwa vile joto limezidi kupanda.

Sioni wananchi wakienda kupiga kura Oktoba kama hakutakuwa na mabadiliko. Na kama Serikali italazimisha kuendelea na uchaguzi wa Oktoba kwa mfumo uliopo, basi hatma ya Taifa letu itakuwa kwenye sintofahamu.

Ila kila kitu ni bora kufanyike kwa amani na siyo kwa uasi au fujo
Nakubaliana na mawazo yako. Very Objective explainations.
 
Hadi wewe CCM nguli umenyanyua mikono??? Kweli nchi hii inaenda kupata Mabadiliko ya kweli kutoka kwa Mkoloni mweusi.

Nakubaliana naww kuhusu Mchengerwa. Niliwahi andika humu kuwa nishangaa sana alivyopata Uwaziri maana aliondoka Mahakama kwa kuresign baada ya kusikia tetesi kuwa wanaanza kumchunguza kwa tuhuma za Rushwa akiwa Katibu wa Jaji Kiongozi Jaji Jundu.

Endapo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana 2024 ungekuwa huru na wa haki, hoja za Chadema kuhusu No Reform No Election zisingekuwa na mashiko.
Kwenye masilahi mapana ya nchi hakuna cha CCM wala UPINZANI, ukweli lazima usemwe. Na UOVU lazima ukemewe kwa sauti kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom