Wakurugenzi ndiyo walozidisha chumvi kwa wizi huu walishindana kutoa matokeo yaelekea mkurugenzi aloshinda kwa kura nyingi huenda akapanda cheo na kuwa waziri flani.mshangao ni kupungua kwa wabunge wa upinzani kwa kiasi kikubwa badala ya kuongezeka.Lakini hii siri ya ushindi wa ajabu ipo siku itavuja.Yaana wamefanya kosa kubwa sana la kiufundi kujipatia ushindi mnono,wangejipa ushindi mwembamba wasingeshitukiwa.Mikakati mingine huwa ya hovyo sana,ilipangwa bila kuangalia effect yake itakuaje.Yaani hapakuwa na fundi,ukila na asiyeona usimshike mkono atajua unamkombea chakula.Haya sasa wanaoitwa mabeberu wamepata hoja ya kusema.
Watu wa jf mnashangaza na kuchekesha.
Tanzania ina asilimia kubwa ya watu masikini ambao hawana hata hiyo elimu ya kukariri.
Na wengi kati ya hao masikini hawajui internet ni nini hivyo hata mitandao ya kijamii kama jf hawaitambui ambako chadema ndipo walipokiwa.
Ila ccm ilisikika kwenye radio ambazo asilimia kubwa watu wasiojiweza ambao ni masikini wanazo sababu radio ni cheap kuliko simu yenye internet.
Hawajui yanayotokea kama kutoongezwa mishahara au kukosa ajira sababu hata shule hawakwenda na hata hawajaajiriwa na serikali.
Hivyo hayo hawayaoni.
Jamii Forums ina members 1000000 tu.
Na kwa kukisia asilimia 50-65 tu kati ya hao ndo walikuwa chadema.
Na wengi ni wanachuo.
Wafanyakazi wa serikali.
Wastaafu waliokosa mafao yao.
Wafanya biashara nk
Pia hao ni wachache ukilinganisha na masikini walioko Tanzania.
Sasa fikiria watu 550000 wa jf ulinganishe na mamilioni ya masikini wengi wasio na elimu yoyote ambao wao wanaishi ili wapate chakula na ngono.
Hata ukiwapa chakula,kofia,nguo basi watapiga kula chama chochote kile.
Wao kupiga kura ni kama ushabiki wa simba na yanga.
Ndio maana huku mtaani kwangu watu walikuwa wakicheza uchi barabarani sababu ya ushindi.
Hawajali kuhusu mazingira mabovu wanayoishi au mfumo mbovu wa elimu wala haki zao mradi wao waendelee kuishi tu wapate chakula na ngono.
Hivyo mnavyoandika kama jamiiforums ndio Tanzania nzima lazima nitilie shaka ufahamu wenu.
Hao wazungu wangekuja kuona uhalisia wa watu waliopiga kura.
Asilimia kubwa hawajitambui sababu ya umasikini physically and mentally.
Nb: Nimeandika kama mtazania na sio kwa itikadi za kisiasa.
Nimeandika ili muone uhalisia na sio kulalamika bila ya kufikiri.
Hakuna kilichoibiwa isipokuwa mindset ya kushindwa inapojaribu kupambana na uhalisia.
Na hao wazungu kujali maslahi yao binafsi.
Tokeni humu jf nendeni nje ya nyumba zenu tembeeni mitaa ya uswahilini na huko vijijini mkaone wapiga kula.
Jamiiforums sio Tanzania nzima mkumbuke.
Unajua ouvu uliopangwa na mwenye akili huwa ni tofauti na uovu uliopangwa na mtu mwenye akili ndogo.Mshangao ni kupungua kwa wabunge wa upinzani kwa kiasi kikubwa badala ya kuongezeka.Lakini hii siri ya ushindi wa ajabu ipo siku itavuja. Yaana wamefanya kosa kubwa sana la kiufundi kujipatia ushindi mnono,wangejipa ushindi mwembamba wasingeshitukiwa. Mikakati mingine huwa ya hovyo sana,ilipangwa bila kuangalia effect yake itakuaje. Yaani hapakuwa na fundi,ukila na asiyeona usimshike mkono atajua unamkombea chakula.Haya sasa wanaoitwa mabeberu wamepata hoja ya kusema.
Hakuna msomi aliyeelimika anaweza kuambatana na CCM. Ni wasomi wanafiki pekee kama akina Kibudu ndio wanaweza kutumikia usomi wao wa kinafiki ndani ya CCM.Shida zote hizo wanataka neno kishindo" ushindi wa kishindo"
Aibu tupu, utadhani kwenye mchakato hakuwemo msomi hata mmoja. Aibu aibu.
Poor arguments with full of inferiority complex...Wengine tumesoma na kufanya kazi huko bro.. stop your stupidity.Europeans love African RESOURCES which they for almost nothing specially when they get leaders of the likes of Lissu and Zitto,,,, Please JF do not publish the thieves' views it makes us feel SICK
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniView attachment 1618192
Anaandika...
Troubled by events in #Tanzania. Serious allegations of irregularities and low number of observers undermine credibility of elections. Reported arrests of opposition leaders are concerning. Fundamental principles of democracy and the rule of law must be protected....
2025 ni mbali mno Yaani watanzania wakae na mateso manyanyaso uonevu wa CCM mpaka 2025?Nadhani wapinzani wamejifunza ni wakati sasa wa kudemand katiba mpya na tume huru na sidhani watakubali kushiriki igizo kama hili 2025! Meanwhile nchi imefikishwa hapo na Ccm sasa ni muda wa kuvuna walichokipanda zikianza sanctions hapo hazitachagua!
Wapo wengi wa huko wanaofanya kazi huku na wanajua kabisa kiasi Africa inawapatia rasilimali adimuPoor arguments with full of inferiority complex...Wengine tumesoma na kufanya kazi huko bro.. stop your stupidity.
Mojawapo ya washauri wakuu wa CCM ni cyprian Musiba na Le mutuz unategemea nini hapo?Mshangao ni kupungua kwa wabunge wa upinzani kwa kiasi kikubwa badala ya kuongezeka.Lakini hii siri ya ushindi wa ajabu ipo siku itavuja. Yaana wamefanya kosa kubwa sana la kiufundi kujipatia ushindi mnono,wangejipa ushindi mwembamba wasingeshitukiwa. Mikakati mingine huwa ya hovyo sana,ilipangwa bila kuangalia effect yake itakuaje. Yaani hapakuwa na fundi,ukila na asiyeona usimshike mkono atajua unamkombea chakula.Haya sasa wanaoitwa mabeberu wamepata hoja ya kusema.
Wananchi wa wapi unawasemea? Maana wananchi wenye Akili timamu hawakuichagua CCMMungu walaani wazungu! Wamepigwa bumbuwazi kuona wananchi wengi hawakudanganyika na janja yao ya kutupandikizia msaliti!
Watanzania wametetea demokrasi yetu kwa kuchagua wagombea wa CCM kwa kura nyingi. Wazungu wataanza kuelewa kuwa na sisi tunajua kama wao!
Wanajifanya wanatupenda saana! Sisi tumeisha wajulia. Tunawapenda pia. "
Kuwepo rasilimali Afrika si kigezo cha CCM kuunajisi kuulawiti kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetaniWapo wengi wa huko wanaofanya kazi huku na wanajua kabisa kiasi Africa inawapatia rasilimali adimu
Hao nao ni watanzania wana haki ya kushauri... na sio kuishauri CCM tuu, hata wewe hapo wanakushauri usikubali kutumika kwa maslahi ya bobuamstadamMojawapo ya washauri wakuu wa CCM ni cyprian Musiba na Le mutuz unategemea nini hapo?
Tatizo haujafanyika mkuuOya rudini kufaanya kazi tujenge nchi.. hela rahisi rahisi hamna siku hizi uchaguzi ushaishaa
Matajiri wafanyabiashara wasio na maisha ya kuunga unga wametaabika sana chini ya utawala huu kwa kubambikiwa kodi kubwa na TRA baadhi kupewa kesi za uhujumu uchumi kienyeji kwa uonevu na wengine kuporwa pesa zao na BOT pindi zikitumwa tokea nje na ikitokea wakapiga kelele hutishiwa kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha, hakuna mwenye raha furaha 100% kwenye utawala huu wa mtukufu labda ni wale tu wenye mamlaka ya kushiriki vitendo vya kuharalisha uonevu moja kwa moja.Shida mnaziona nyie mimi sina shida na sioni shida huko mbeleni nipo nafanya yangu ....shida zako usizilazimishe kwa wengine.....unadhani kila mtu humu ana maisha ya kuunga unga kama yako
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Bila wewe kumpiga risasi asingejuana na Amsterdam, huoni kuwa njama zako na za cyprian Musiba na wenzenu kutaka kumuua ndizo zimemfikisha hapoHao nao ni watanzania wana haki ya kushauri... na sio kuishauri CCM tuu, hata wewe hapo wanakushauri usikubali kutumika kwa maslahi ya bobuamstadam