Waziri wa mambo ya ndani: Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa unahitajika, vibali vya kufanyia kazi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Tukiwa bado tuna homa ya uhakiki wa vyeti vya elimu ni wazi sasa kuna haja ya ukaguzi wa vyeti vya kuzaliwa tena.

Vibali vya kufanyia kazi nchini kwa wasio raia kuna haja ya kukagua pia, maana inawezekana vimejaa vingi vya Kariakoo na Manzese.

Ukaguzi huu utapunguza kasi ya wahamiaji wasio na vibali.

MH. MWIGULU NCHEMBA NAKUOMBA WAZIRI WANGU HILI LIFANYIE KAZI MARA MOJA.
 
Back
Top Bottom