Jiongeze mkuu, hao uliowataja hawapo kwenye nyara za serikali.Wanyama hai including kuku ng'ombe mbuzi sasa itakuwaje?
Mkuu kwani hao wapo Mali asili au Wizara ya Kilimo na ufugaji?Wanyama hai including kuku ng'ombe mbuzi sasa itakuwaje?
Wanyamapori hai. Awali walikuwa wanaruhisiwa wanyama wadogo kama vile mijusi, jamii ya nyani kama ngedere na tumbili.Wanyama hai including kuku ng'ombe mbuzi sasa itakuwaje?
Jiongeze mkuu, hao uliowataja hawapo kwenye nyara za serikali.
Teh teh teh teh....nimecheka sana....aha aha...nashukuru kwa ufafanuzi wako kwa baadhi ya watu...
Hahaaa!! Waziri kasema; "kuanzia saa hizi (saa 1.25) nasitisha usafirishaji wanyama hai. Hakuna kusafirisha hata chawa."... "baada ya Twiga tulizuia kusafirisha wanyama wote wakubwa tukaachia wadogo kama mijusi, na jamii ya nyani...."
Hujui kama asubuhi huwa kunajitokeza baridi kali!Anakumbuka blanket wakati kumeshakucha!
Waliokuwa wanafanya hayo walishahamia chadema.Kila siku mnatutangazia kunasitisha kusafirisha wanyama hai. Lakini kwa sirisiri vibali vinatolewa vya kusafirisha wanyama hai.
Pesa yetu hajasema iko wapi! Hahahhh nimecheka eti hakuna kusafirisha hata chawa...Hahaaa!! Waziri kasema; "kuanzia saa hizi (saa 1.25) nasitisha usafirishaji wanyama hai. Hakuna kusafirisha hata chawa."... "baada ya Twiga tulizuia kusafirisha wanyama wote wakubwa tukaachia wadogo kama mijusi, na jamii ya nyani...."