Waziri wa kilimo Tanzania katembelea mradi wa kufuga nyuki, mlinzi kamzuia kuingia waziri kwa ukali unanijua mimi nani? Mimi waziri, mlinzi akamwambia sawa mzee ingia. Mara waziri kaanza kupiga kelele mlinzi njoo nyuki wataniuaa, mlinzi akamwambia jitambulishe tu hawajakujua hao.