tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 83
wa nini sasa wakati yeye ndio amefundisha watu kutozingatia taratibuHivi Tukikesha Kanisani na Msikitini Magufuli hawezi Kufufuka?
Na pia abadili uraia wake.Hii ni aibu kubwa kwa wizara husika kusogeza mbele muda mechi ya watani wa jadi Kati ya Simba vs yanga.
Waziri Bashungwa unapaswa kujiuzulu leo ndani ya masaa 24 kutokana na hali iliyotokea kwani hajui chochote kuhusu michezo, hajui kanuni za michezo.
Hivyo kusababisha adha hii.
Tufunge tusaliHivi Tukikesha Kanisani na Msikitini Magufuli hawezi Kufufuka?
Sahihi kabisa.Heshima ya Serikali ya awamu ya sita bila waziri wa Michezo kukaa Pembeni hatutaelewa
Nawapongeza mashabiki wa timu zote 2 kukemea huu upumbavu na uhuni wa Bashungwa. Hatuwezi kuruhusu mtu mmoja mpuuzi asababishe hasara na aibu kwa nchi.Nategemea mashabiki wote tuungane kukemea uhuni huu bila kuangalia timu zetu.