Waziri wa Fedha imulike TRA Vingunguti Dar es Salaam

Waziri wa Fedha imulike TRA Vingunguti Dar es Salaam

Verily Verily

Senior Member
Joined
Jan 4, 2007
Posts
192
Reaction score
148
Wanaweka mazingira magumu kwa wafanyabiasha ili watoe rushwa
Wanakomoa watu katika kukadiria kodi mpaka watu wanafunga biashara
Wanaweka foleni wateja zaidi ya wiki nzima, mtu hapati huduma anayohitaji.
Kwa ufupi wanafanya kuhujumu uchumi wa nchi na hali ikiendelea hivi basi itakuwa hatari kubwa.

Mheshimiwa Waziri hebu fika TRA Vingunguti ujionee mwenyewe. Hali imekuwa mbaya sana.
Hali hii ndio inayoendelea kila ofisi ya TRA lakini Vingunguti Dar es Salaam hali imekuwa mbaya kupindukia.
 
du, hapo kunakera mimi ninajua hapo ndio standard ya TRA zote labda.
maana niliingia siku moja kila mtu analalamika.
 
Wanaweka mazingira magumu kwa wafanyabiasha ili watoe rushwa
Wanakomoa watu katika kukadiria kodi mpaka watu wanafunga biashara
Wanaweka foleni wateja zaidi ya wiki nzima, mtu hapati huduma anayohitaji.
Kwa ufupi wanafanya kuhujumu uchumi wa nchi na hali ikiendelea hivi basi itakuwa hatari kubwa.

Mheshimiwa Waziri hebu fika TRA Vingunguti ujionee mwenyewe. Hali imekuwa mbaya sana.
Hali hii ndio inayoendelea kila ofisi ya TRA lakini Vingunguti Dar es Salaam hali imekuwa mbaya kupindukia.
Pameoza pale...ni hapafai.
Kule ndani kuna mazimwi sio watu.
Hawajui wanachokilazimisha kwa hao wananchi.Kwa kifupi TRA za Ilala ni majanga...Na ndio maana Ilala ipo nyuma sna kwa watu kufanyabiashara kubwa
 
Bongo TRA hata hawajitambui kabisa wapo kukomoa watu huduma ya siku moja mtu anarudi kila Siku eti kutaka kulipa kodi nanyi mnawazuia naona kama hamtaki pesa za walipa kodi wazalendo kabisa...
 
Mimi nilienda pale mzee mmoja akanikadiria ela nyingii mnoo kuliko hata mtaj nlionao kabla sijaanza biashara nikagoma ,nkamwambia mzee basi bwana ntarudi siku nyingine sikurudi teeenaaa ,na biashara yenyewe nikaihamishaa...ahh yule mzee kibokooo
 
Pale vingunguti hpafai aisee, kama unhasira unaweza kumtia mtu ndosi wallah tena

Nilienda pale kuhamisha TIN yangu toka January nikaambiwa andika barua then tutakupa taarifa uje lini kuonana na Afisa...Sasa zikazidi kwenda nikaona ngoja niende hata kama sijaitwa eeeebana weee yule mzee wa mapokezi alichonijibu sikutegemea sema kutokana na umri wake nikaamua kula buyu tu.

Hadi leo sijaenda tena na wakija nawaonyesha barua yao mana siwezi kujibebeleza kama kitu napewa bure.
 
  • Thanks
Reactions: exo
Niliwaha kusoma mahali kua sifa ya kutoza kodi vizuri kwa tax collectors ni kuweka mazingira mazuri kwa walipa kodi, hao jamaa wanakwenda kinyume na mafundisho ya taaluma yao
 
Mimi nilienda pale mzee mmoja akanikadiria ela nyingii mnoo kuliko hata mtaj nlionao kabla sijaanza biashara nikagoma ,nkamwambia mzee basi bwana ntarudi siku nyingine sikurudi teeenaaa ,na biashara yenyewe nikaihamishaa...ahh yule mzee kibokooo

Chonde Waziri Phillip Mpango fika TRA Vingunguti ujionee!
Sikiliza vilio hivi. Ni janga!
 
Msijali wahusika watashulikia ishu hiyo

Ova
 
tra yote ina endeshwa ki-sirikali
ingefaa indeshwe kibiashara sana na kiserikali kidogo ili kuleta tija.
huduma kwa wateja inayotolewa mkadiria kodi ina weza kuwa ya hovyo
ni vyema mkadiria kodi aka kadiria kodi na kumpa mtaalam wa huduma kwa wateja kazi ya kuwasilisha makadirio kwa mteja
 
Back
Top Bottom