Hizi hotuba za mawaziri wa Serikali ya Magufuli bado zinawashukuru wananchi kwa kuwasikiliza akiwa kajificha ndani ya jengo lenye sound proof, tunaomba waheshimiwa muondoe hicho kibwagizo kwani huku siye hatujuwi kinachoendelea.
Huna habari kuwa waandishi wa habari nao hawaruhusiwi kuingia mjengoni?Wanaokuwepo bungeni sio wabunge tu wanakuweko na watu wengine ambao si wabunge kama waandishi wa habari,wageni mbalimbali,maofisa mbalimbali wa serikali nk hao ndio wanaangukia kwenye kundi la Wananchi.Akisema anashukuru wabunge na wananchi wote kunsikiliza yuko sahihi.
Mnajitoa akili vibaya nyie watoto sijui hii nchi inaachiwa kizazi gani.Hizi hotuba za mawaziri wa Serikali ya Magufuli bado zinawashukuru wananchi kwa kuwasikiliza akiwa kajificha ndani ya jengo lenye sound proof, tunaomba waheshimiwa muondoe hicho kibwagizo kwani huku siye hatujuwi kinachoendelea.
View attachment 341808
Mkuu wanaweza sema 'Asanteni Waalikwa kwa kunisikiliza' sio wananchi wote. Wote na akina nani? Ingekuwa inarushwa live ni haki kusema 'wananchi wote'Wanaokuwepo bungeni sio wabunge tu wanakuweko na watu wengine ambao si wabunge kama waandishi wa habari,wageni mbalimbali,maofisa mbalimbali wa serikali nk hao ndio wanaangukia kwenye kundi la Wananchi.Akisema anashukuru wabunge na wananchi wote kunsikiliza yuko sahihi.
Hao unaosema mkuu huwa wanajulikana kama wageni, na ndo maana huwa wanatambulishwa na huwa inaelezwa sababu ya wao kuwepo ndani ya bunge.Wanaokuwepo bungeni sio wabunge tu wanakuweko na watu wengine ambao si wabunge kama waandishi wa habari,wageni mbalimbali,maofisa mbalimbali wa serikali nk hao ndio wanaangukia kwenye kundi la Wananchi.Akisema anashukuru wabunge na wananchi wote kunsikiliza yuko sahihi.
Huna habari kuwa waandishi wa habari nao hawaruhusiwi kuingia mjengoni?