Waziri wa elimu apiga marufuku mitihani ya mitaani

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
6,129
10,498
Kumekuwa na wimbi la kuchapisha mitihani maeneo ya mijini kwa siku za hivi karibuni nimeona video imesambaa kwenye mitandao kuwa sasa ni marufuku kununua mitihani hiyo wasiwasi wangu biashara hii wanafanya viongozi wenzake ngoja tuone hii vita.

Your browser is not able to display this video.
 
Mi sijaelewa mantiki ya hili katazo. Aliyeelewa anitoe kwenye giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…