Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau mtakumbuka Mchungaji Mama Rwakatare ambaye pia ni Mbunge wa CCM ana hekalu lake Kawe Beach ambalo liko ndani ya hifadhi ya Bahari eneo la Mikoko.Hekalu hill halijaguswa ila Nyumba za Maskini, Wanyonge wa Nchi hii ambazo ziko mbali Na mikoko zilibomolewa Kwa mbwembwe nyingi Na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni chini ya maelekezo ya Waziri Lukuvi Na watalaam wake.Tunajiuliza iweje Hekalu la Mchungaji Rwakatare ambalo liko kwenye Hifadhi ya Mikoko mpaka leo Halijavunjwa?Au Kwa kuwa ni Hekalu la Kada wa CCM Analindwa?Mchungaji Rwakatare Hebu Mwogope Mungu Kwa vitendo.