Waziri wa AFYA Malaysia na DVD ya NGONO

Chuma

JF-Expert Member
Dec 25, 2006
1,324
43
Nilikuwa nasikiliza BBC swahili wakamgusia aliekuwa wazir wa AFYA wa Malaysia kujiuzulu na kukiri kwake Uzinifu.

http://www.iht.com/articles/ap/2008/01/03/asia/AS-GEN-Malaysia-Ministers-Scandal.php

nafikiri ukigoogle unaweza pata news zaid. Mjadala huu naomba tuujadili kwanini VIONGOzi WETU WA TZ hao hawataki kujiuzulu hata wakiona wamechemsha kukubwa. Pia KESI ya UZINIFU ni kesi mbaya ambayo wenzetu wanaonesha ujasiri wa KUKIRI na kuachia MADARAKA...
 
wenzetu wana culture ya accountability ila hapa Africa that will really take a long time unless a revolution takes place.
 
Jamani hivi vichwa vya habari mjaribu kuviweka sawa.Maana mimi nilikuwa nishaanza kufikiri Profesa Mwakyusa toba yarabi wamekuzulia nini mzee wa watu, maana nikimfikiria mzee yule integrity yake na DVD ya ngono tofauti.

Kwenye issue ya accountability, rais Karume (mtoto)alisema best alipoulizwa kuhusu kuwajibishwa kwa waziri wake mmoja.Alisema bluntly kwamba waziri hawezi kujiuzulu kwa sababu hatuna utamaduni wa kujiuzulu, mind you, hakumtetea waziri kwamba hajafanya kosa au uchunguzi unaendelea, alisema simply and clearly, hatuna utamaduni wa kujiuzulu, with a straight face and no shame!
 
Chua Soi Lek.jpg

Ni Dr Chua Soi Lek

Huyu ndiye Waziri aliyejiuzulu Malaysia (Trully Asia)
Nakumbuka Dito alipowahi kuielezea jamii kwamba amefanya ngono na mke wa mtu kwasababu yule mwanamke alijirahisi mwenyewe, hii ndiyo maana halisi ya kutokuwa na hali ya uwajibikaji, hebu fikiria hadi kiongozi anatamba katika vyombo vya habari juu ya ufuska alioufanya bila kuchukuliwa hatua. Hakuna uwajibikaji Tanzania

KATIKA MAELEZO YAKE WAKATI WA KUTANGAZA KUJIUZULU Dr Chua anasema

Apology http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/asia-pacific/7167002.stm

According to Malaysia's Star newspaper, the DVDs are believed to be CCTV recordings made in a hotel suite. The hotel and the date are unknown.

Copies were reportedly left at various locations in Mr Chua's home state of Johor, on Saturday, "for people to pick up".

Mr Chua made his admission on Tuesday, hours after the Star reported that the DVDs were being widely distributed.

"I am the man in the tape," Mr Chua, 60, told reporters. "The girl is a personal friend."

"I would like to emphasise I did not make the tape myself," he added.

"Who [did] this is not important. What is most important is that my family, wife and children have accepted my apology."

As health minister, Mr Chua has advocated giving out free condoms to reduce the spread of HIV, in the face of religious opposition.

Hata kama uchunguzi umefanyika na mambo yako black and white ametenda uhalifu hakuna anayejiuzulu wala hata kuona haya.

Tunayo njia ndefu ya kwenda kabla watu hawajagundua pia wao wanafanyaga uhalifu au hata dhamira yao iwasute kabla hawajatenda hayo maovu
 
hivi bongo ukijiuzulu,utafanya nini,kama yangekuwepo basi viongozi wengi wagejuzulu au kuomba kusitaafu kwa hiyari yao wenyewe.hivi kuna mtu anajua umri wa mramba,kingunge,chenge,na vizee vingine
 
hivi bongo ukijiuzulu,utafanya nini,kama yangekuwepo basi viongozi wengi wagejuzulu au kuomba kusitaafu kwa hiyari yao wenyewe.hivi kuna mtu anajua umri wa mramba,kingunge,chenge,na vizee vingine

Tatizo la kujua kiongozi akijiuzulu Tanzania atafanya nini, hilo ni tatizo lake, siyo tatizo la Watanzania. Kama ameboronga kwa kukiuka maadili ya uongozi basi ni lazima ajiuzulu au afukuzwe kazi.
 
Nilikuwa nasikiliza BBC swahili wakamgusia aliekuwa wazir wa AFYA wa Malaysia kujiuzulu na kukiri kwake Uzinifu.

Breaking News, World News & Multimedia

Back
Top Bottom