Ni muda muafaka sasa kwa Mama kuwafikiria Mashoga kwenye nafasi za Uwaziri na Ukuu wa Mikoa kwani inasemekana si wakatiliHuko ni kujipendekeza kwa sababu mama amesema chaguo lake la uteuzi ni wanawake na wewe ndio unataka kuonyesha rangi zako?
Hahahaha...mpaka wajua sifa zao hakika kua uyaoneNi muda muafaka sasa kwa Mama kuwafikiria Mashoga kwenye nafasi za Uwaziri na Ukuu wa Mikoa kwani inasemekana si wakatili
Acha kutetea mafisadiWaziri ni kama anashinikiza Rais awatimue kwa maneno ya jukwaani tu. Kama ana vielelezo na uthibitisho wa kuonesha hafai avipeleke kwa mteuaji na kwa kuwa jukumu la waziri ni kumshauri Rais basi na amshauri na sio kmshinikiza Rais
Toa hiyo mimba uliyodungwa na jiwe
Tatizo anaongea sana yeye kilasiku anaongea ongea sisi wananchi tunataka afanye kazi kwa mujibu wa sheria asilete mambo ya mwendazake.Tuna mfumo wa sheria jamani.
Tuache kuongoza kwa kiki tufuate utawala wa sheria.
Kama watu wabadhirifu washitakini wafungwe na kuondolewa kazini.
Kuzomeq mtu buka due process hata kwa chuki binafsi ni rahisi sana.
Mfumo rasmi wa sheria na due process vina guards against abuse.
Shida ya Waziri Ni Kwamba anaongea Kila Siku Yeye, Apumzike Maana watumishi walioko Chini Yake Watamzoea, aige Mfano wa Waziri Wa Sindano, Aliingia Vibaya Kila Siku Akawa anaongea Yeye Tu Mwisho Wa Siku Imefika Pahala Hana Cha Kuongea TenaTatizo anaongea sana yeye kilasiku anaongea ongea sisi wananchi tunataka afanye kazi kwa mujibu wa sheria asilete mambo ya mwendazake.