Mama anapiga mwingi sana 😃 naona anazisaka pesa za uviko kwa udi na uvumba 😃😃😃hataki mzaha utasikia watu waliolazwa ni 100,000 siku sio nyingi.Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawajachanja.
Pia, imesema kuwa mpaka sasa ni watu 1,922,019 waliochanja sawa na asilimia 3.3 ya Watanzania waliolengwa.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Januari 26, 2022 na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu baada ya kupokea shehena ya chanjo 800,000 za Sinopharm ambazo ni sawa na dozi 400,000 kutoka Serikali ya watu wa China.
“Wagonjwa waliokuwa mahututi katika vyumba vya uangalizi maalumu kwa siku ya Januari 23 mwaka huu ICU walikuwa 31 kati yao 30 walikuwa hawajachanjwa.
Vifo vilivyotokea vilikua 76 kati ya hivyo vifo 73 viliwahusisha wagonjwa ambao hawakuchanja,” amesema Waziri Ummy.
Amewataka Watanzania kufika katika vituo vya kutolea huduma za afya kupima kwa kuwa si kila homa au mafua ni Uviko-19.
“Una homa kapime watu sasa hivi wanakunywa Azuma na dawa zingine za antibaotiki, si kila homa ni corona tuache kujitibu kapime upate matibabu sahihi, tunatengeneza usugu wa dawa baadaye tutakua tunatibu watu hawaponi,” amesema.
Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya, Dk Beatrice Mutayoba amesema chanjo hizo zina uwezo wa kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika.
“JJ inakaa miezi mitano tunafanya utaratibu wa kuzigawa ndani ya muda mfupi tunakuwa tumezimaliza, chanjo za Sinopharm ni miaka miwili na Pfizer zinakaa miezi 8,” amesema Dk Mutayoba.
Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian amesema mpaka sasa zaidi ya asilimia 80 ya watu wa China wamechanja.
Mwananchi
😀 😀 Mijitu inapiga mpaka pesa za kupunguza makali ya covid.Hii nchi tushaathirika na upigaji..sijui itakuwaje mbeleni
UMMY KWISHA HABARI YAKO!!Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawajachanja.
Pia, imesema kuwa mpaka sasa ni watu 1,922,019 waliochanja sawa na asilimia 3.3 ya Watanzania waliolengwa.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Januari 26, 2022 na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu baada ya kupokea shehena ya chanjo 800,000 za Sinopharm ambazo ni sawa na dozi 400,000 kutoka Serikali ya watu wa China.
“Wagonjwa waliokuwa mahututi katika vyumba vya uangalizi maalumu kwa siku ya Januari 23 mwaka huu ICU walikuwa 31 kati yao 30 walikuwa hawajachanjwa.
Vifo vilivyotokea vilikua 76 kati ya hivyo vifo 73 viliwahusisha wagonjwa ambao hawakuchanja,” amesema Waziri Ummy.
Amewataka Watanzania kufika katika vituo vya kutolea huduma za afya kupima kwa kuwa si kila homa au mafua ni Uviko-19.
“Una homa kapime watu sasa hivi wanakunywa Azuma na dawa zingine za antibaotiki, si kila homa ni corona tuache kujitibu kapime upate matibabu sahihi, tunatengeneza usugu wa dawa baadaye tutakua tunatibu watu hawaponi,” amesema.
Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya, Dk Beatrice Mutayoba amesema chanjo hizo zina uwezo wa kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika.
“JJ inakaa miezi mitano tunafanya utaratibu wa kuzigawa ndani ya muda mfupi tunakuwa tumezimaliza, chanjo za Sinopharm ni miaka miwili na Pfizer zinakaa miezi 8,” amesema Dk Mutayoba.
Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian amesema mpaka sasa zaidi ya asilimia 80 ya watu wa China wamechanja.
Mwananchi
Yakikukuta mbona utajutaIyo covid mnapata wenzangu tu? Mbna me sipati na familia yangu
Hapa labda wafanye kama marekani watangaze dau 🤣Pia, imesema kuwa mpaka sasa ni watu 1,922,019 waliochanja sawa na asilimia 3.3 ya Watanzania waliolengwa.
Itapendeza zaidiapa yabidi tuombe fungu jingine tulitumie kujenga kituo cha afya kila kataa
Sir God anakulinda, halafu wewe unajisifia.Iyo covid mnapata wenzangu tu? Mbna me sipati na familia yangu
😂😂😂Mkuu usiiombee ikufikie🙌🙌,utalia Kama mtoto,mwezi uliopita nilijikuta natoa wosia kwa wife bila kupenda🤣🤣,DELTA NOMA SANA.
Mkuu usiiombee ikufikie,utalia Kama mtoto,mwezi uliopita nilijikuta natoa wosia kwa wife bila kupenda,DELTA NOMA SANA.
Wao wenyewe wanategemea kuishi nayo muda mrefu ,hawana uhakika wa kuimaliza.Watanzania walipuuza Ukimwi, na sasa wanapuuza Covid. Anayejali maisha ya Mtanzania siyo Mtanzania mwenyewe, ni mzungu. Bila ya mzungu kuleta ARVs, Ukimwi ungemaliza Watanzania karibu wote. Na kwenye hili suala la Covid, bila ya mzungu kuleta chanjo na dawa zao Covid tutaishi nayo muda mrefu.
Lakini wataimaliza tuu kama walivyoimaliza Malaria huko kwao wakati huku kwetu bado tunaishi nayo.Wao wenyewe wanategemea kuishi nayo muda mrefu ,hawana uhakika wa kuimaliza.
Kuendelea kutembelea majaribio na kupack nguvu yetu ni fedheha. Wachina pamoja n akuchanjwa huko, hali iko hivi. Hata mkilazimisha watu wote wachanjwe, mtakwenda kufuata mapito ya hawa wasanii. Tumieni akili zenu, imarisheni idara ya Afya kwa ubunifu na siyo siasa na sanaa zenye hila.
Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawajachanja.