#COVID19 Waziri Ummy Mwalimu: Watu 3,147 walazwa kwa UVIKO-19 huku 76 wakifariki

Anakula kwa urefu wa kamba. Hii kamba imekuwa fupi anataka kuiongea urefu apate ulaji.
Ukiambiwa changanya na za kwako.
Mjinga ndiyo waliwao.
 
Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawajachanja.

Pia, imesema kuwa mpaka sasa ni watu 1,922,019 waliochanja sawa na asilimia 3.3 ya Watanzania waliolengwa.

Hayo yamesemwa leo Jumatano Januari 26, 2022 na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu baada ya kupokea shehena ya chanjo 800,000 za Sinopharm ambazo ni sawa na dozi 400,000 kutoka Serikali ya watu wa China.

“Wagonjwa waliokuwa mahututi katika vyumba vya uangalizi maalumu kwa siku ya Januari 23 mwaka huu ICU walikuwa 31 kati yao 30 walikuwa hawajachanjwa.

Vifo vilivyotokea vilikua 76 kati ya hivyo vifo 73 viliwahusisha wagonjwa ambao hawakuchanja,” amesema Waziri Ummy.

Amewataka Watanzania kufika katika vituo vya kutolea huduma za afya kupima kwa kuwa si kila homa au mafua ni Uviko-19.

“Una homa kapime watu sasa hivi wanakunywa Azuma na dawa zingine za antibaotiki, si kila homa ni corona tuache kujitibu kapime upate matibabu sahihi, tunatengeneza usugu wa dawa baadaye tutakua tunatibu watu hawaponi,” amesema.

Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya, Dk Beatrice Mutayoba amesema chanjo hizo zina uwezo wa kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika.

“JJ inakaa miezi mitano tunafanya utaratibu wa kuzigawa ndani ya muda mfupi tunakuwa tumezimaliza, chanjo za Sinopharm ni miaka miwili na Pfizer zinakaa miezi 8,” amesema Dk Mutayoba.

Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian amesema mpaka sasa zaidi ya asilimia 80 ya watu wa China wamechanja.

Mwananchi
Mama anapiga mwingi sana 😃 naona anazisaka pesa za uviko kwa udi na uvumba 😃😃😃hataki mzaha utasikia watu waliolazwa ni 100,000 siku sio nyingi.
 
UMMY KWISHA HABARI YAKO!!

NDIO WAMEENDA KUKUULIA HAPO KISIASA BAADA YA KUONA NYOTA YAKO INANG'AA!!
 
Watanzania walipuuza Ukimwi, na sasa wanapuuza Covid. Anayejali maisha ya Mtanzania siyo Mtanzania mwenyewe, ni mzungu. Bila ya mzungu kuleta ARVs, Ukimwi ungemaliza Watanzania karibu wote. Na kwenye hili suala la Covid, bila ya mzungu kuleta chanjo na dawa zao Covid tutaishi nayo muda mrefu.
 
Wao wenyewe wanategemea kuishi nayo muda mrefu ,hawana uhakika wa kuimaliza.
 
Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawajachanja.

Pia, imesema kuwa mpaka sasa ni watu 1,922,019 waliochanja sawa na asilimia 3.3 ya Watanzania waliolengwa.

Hayo yamesemwa leo Jumatano Januari 26, 2022 na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu baada ya kupokea shehena ya chanjo 800,000 za Sinopharm ambazo ni sawa na dozi 400,000 kutoka Serikali ya watu wa China.

“Wagonjwa waliokuwa mahututi katika vyumba vya uangalizi maalumu kwa siku ya Januari 23 mwaka huu ICU walikuwa 31 kati yao 30 walikuwa hawajachanjwa.

Vifo vilivyotokea vilikua 76 kati ya hivyo vifo 73 viliwahusisha wagonjwa ambao hawakuchanja,” amesema Waziri Ummy.

Amewataka Watanzania kufika katika vituo vya kutolea huduma za afya kupima kwa kuwa si kila homa au mafua ni Uviko-19.

“Una homa kapime watu sasa hivi wanakunywa Azuma na dawa zingine za antibaotiki, si kila homa ni corona tuache kujitibu kapime upate matibabu sahihi, tunatengeneza usugu wa dawa baadaye tutakua tunatibu watu hawaponi,” amesema.

Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya, Dk Beatrice Mutayoba amesema chanjo hizo zina uwezo wa kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika.

“JJ inakaa miezi mitano tunafanya utaratibu wa kuzigawa ndani ya muda mfupi tunakuwa tumezimaliza, chanjo za Sinopharm ni miaka miwili na Pfizer zinakaa miezi 8,” amesema Dk Mutayoba.

Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian amesema mpaka sasa zaidi ya asilimia 80 ya watu wa China wamechanja.

Mwananchi
Kuendelea kutembelea majaribio na kupack nguvu yetu ni fedheha. Wachina pamoja n akuchanjwa huko, hali iko hivi. Hata mkilazimisha watu wote wachanjwe, mtakwenda kufuata mapito ya hawa wasanii. Tumieni akili zenu, imarisheni idara ya Afya kwa ubunifu na siyo siasa na sanaa zenye hila.

China Pamoja na kuchanjwa, Corona yarudi kwa nguzu zaidi Wuhan. Chanjo haisaidii. Acheni kubumba takwimu ili muwatishe watu. No one knows what this chanjo is.

Baada ya kushindwa kwa chanjo, China sasa inawakamata watu kwa nguvu na kuwapeleka kwenye makambi yaliyojengwa kwa ajili ya wagonjwa wa covid ambako wanawekwa kwenye vijumba kama masanduku ya vyuma, usiku wa manane, ili kuimainisha dunia kwamba CHINA haina corona. Chanjo zimeshindwa. Je na hili nalo mtaiga? Mbona hamuliulizii wala kulizungumzia?

1643249498291.png
 
Na hawafikii hata 5% ya lengo lao... Wanabwabwaja tu Ili waonekane bora kwa Mama! cha ajabu wanampigia Mbuzi gitaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom