Waziri Ummy haishiwi vituko

Habari yenu wanajukwaa.
Juzi kati hapa waziri Ummy amesema mh. Rais amepunguza vifo. Nikajiulizatu maswali mawili. 1. Je kuna mtu anayepunguza idadi ya vifo au ni uchawa?
2. Kama amevipunhuza mama je nani alichochea vikawa vingi ili tumkemee na hata kumzomea
Sasa kupitia magazetini leo nimesikia eti AMEKEMEA WAJAWAZITO WASIUZIWE KADI ZA KLINIKI.
Eti anatoa maelekezo kwamba amegawa kadi milioni 1.2 lakini mahitaji kwa mwaka ni milioni 2.4.
Anaagiza zikaprintiwe zakutosha lakini bado jamtetei huyu mama mjamzito wakati wa kujifungua.

Najiuliza kwanini wasiuziwe wakati wajawazito wanatozwa hela wakienda kujifungua? Anajua maana hata huko jimboni kwake wanatoza kiasi cha shs 75,000/=. Sasa kama wanatozwa fedha yote hiyo wakijifungua kwani kuna dhambi gani wakiuziwa kadi za kliniki? Wauzienitu kadi hizo maana itamefikia hatua mimba imekua kitega uchumi.
Acha kutoa matamko ambayo hayana muelekeo

View: https://www.youtube.com/watch?v=7eLifIn4BCI
 
NHIF imekufa Ummy anaangalia. NHIF inaibiwa Kama yatima mpaka yupo tu na naibu lake chawa ++
 
Hadi raha mama amezuia vifo yani kwasasa hakuna atakae kufa tz hii kwasasa mpaka muda wake uishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom