Waziri Simbachawene wewe ni muungwana, onesha wema kwa kwa kutengeneza gari la jamaa aliyegongwa na mwanao

samakiurembo

JF-Expert Member
Dec 8, 2021
445
684
Kwako Waziri nimeona niandike hapa moja kwa moja nadhani itakufikia maana nimeumia sana

Suala lenyewe ni kuhusu mwanao kugonga na kuharibu gari la mwanaume mmoja jijin Dar es Salaam, nimekuita muungwana kutokana na kauli yako ya kwanza uliyotoa uliongea kauli ya haki na kweli inayoungwa mkono hadi na Mungu kuwa kweli ni mwanao na ni mtu mzima afikishwe mahakaman safi sana.

Point yangu ya msingi yule jamaa aligongwa gari lake akamkimbiza mwanao aliyekimbia alipokamatwa akajibu dharau jamaa alisema hana pesa ya kutengeneza gari waongee na fundi wake watengeneze hukumu ilipotoka jamaa akawa excluded katika mjumuisho wa gari lake kutengeneza.

Kikubwa faini ya laki mbili ambayo sijui inaenda wapi mahakamani au trafiki

Do it a favour kwa kuonesha kujali na kulinda heshima yako kama Waziri kwa kumtengenezea gari lake mwanaume yule
 
Kwako wazir nimeona niandike hapa moja kwa moja nadhani itakufikia maana nimeumia sanaa

Suala lenyewe ni kuhusu mwanao kugonga na kuharibu gar la mwanaume mmoja jijin dar es salaam nimekuita muungwana kutokana na kauli yako ya kwanza uliyotoa uliongea kauli ya haki na kweli inayoungwa m mkono had na mungu kua kweli ni mwanao na ni mtu mzima afikishwe mahakaman safi sanaaa.

Point yangu ya msingi yule jamaa aligongwa gar lake akamkimbiza mwanao aliekimbia alipokamatwa akajibu dharau jamaa alisema hana pesa ya kutengeneza gar waongee na fund wake watengeneze hukumu ilipotoka jamaa akawa excluded katika mjumuisho wagar lake kutengeneza.

Kikubwa fain ya laki mbili ambayo sijui inaenda wap mahakaman au trafic

Do it a favour kwa kuonesha kujal nakulinda heshima yako kama wazir kwakumtengenezea gar lake mwanaume yule
Kwani magari si yana Bima Mkuu?
 
mambo ya barabarani yamanalizwa na bima sasa kama hukukata bima unatarajia nn maana mpka wasimzingatie kwenye kesi washajua muhusika atalipwa na bima na kama bima kuna tatizo bado vyombo vya sheria vipo
 
Kwako Waziri nimeona niandike hapa moja kwa moja nadhani itakufikia maana nimeumia sana

Suala lenyewe ni kuhusu mwanao kugonga na kuharibu gari la mwanaume mmoja jijin Dar es Salaam...
Bila shaka wewe ndio gari yako iligongwa sema hapa unakuja kwa mlango wa nyuma kumkumbusha waziri
 
Waziri anasakamwa kwa sababu ni kiongozi wakati ishu kama hizo zipo za kumwaga sana mtaani na wahuni wanamalizana vizuri tuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom