ingekuwa vyema mngetupa update ya kilichojiri mkuu maana wengine tupo mbali na tv.
BTW nakumbuka jamaa aliwahi kumbananisha kweli Tony blair sasa sijui kwa Nyarandu imekuwaje?
Ndugu wana jf, leo usiku waziri wa maliasili Mh.Lazaro Nyalandu atahojiwa one-on-one na kipindi hatari cha BBC HARDtalk usiku sana lakini nawaomba muangalie live kwani ni kipindi ambacho maswali yake huwa ni magumu kuyajibu ambapo hata George Bush nakumbuka alitaka kukimbia pia marais wengi wakiwekwa kwenye hicho kiti huwa kama kiyama kwao, Marge Thatcher alitoka jasho jembamba alipobanwa kuhusu meli iliyozama vita vya Falklands,
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.