Iv huyu ni mmbunge wa jimbo gani iv tukumbushaneWaziri Ndumbaro hafai popote huku kwenye michezo ndo hafai hafai kabisa analeta migogoro na anazidi kuharibu...
Juzi watanzania waliona kilichotokea kwenye boxing....Ugomvi wa kibishara WA mapromota WA ngumu umeleta aibu kubwa sana.....huku waziri akiwa mshiriki Mkuu....
Promota ambae ana mkataba na Azam TV ..kanyang'anywa pambano lake la Mwakinyo na Mgana Allotey lilitakiwa kufanyika ijumaa ukumbi WA warehouse Masaki na lioneshwe Azam TV na limetangazwa mwezi mzima...badala yake promota mwingine akaliiba Hilo pambano limekuja fanyika Jumamosi.. ukumbi huo huo na likaonyeshwa na Millard Ayo TV....yaani jana...huku wale wote tuliolipia king'amuzi azam TV tukiwa tumetapeliwa kisa tu mapromota wanaibiana waziri kupitia kamisheni ya ngumi aliyoiunda mwenyewe baada ya kuivunja ile iliyokuwa inasimamia vizuri na kuchaguliwa na wadau ...
Huyu Waziri hafai hata kuwa mjumbe WA serikali ya mtaa
Kujielewa kwa kujipigisha UK na kusingizia viatu vinambana?Wanamhujumu Mwakinyo kwakuwa anajielewa, Watanganyika hawapendi watu wanaojielewa wanataka mambumbumbu wawabiluze tu
Although ndumbaro ana massive incompetence lakin bado sijajua kama hili indirectly ni lakeWaziri Ndumbaro hafai popote huku kwenye michezo ndo hafai hafai kabisa analeta migogoro na anazidi kuharibu...
Juzi watanzania waliona kilichotokea kwenye boxing....Ugomvi wa kibishara WA mapromota WA ngumu umeleta aibu kubwa sana.....huku waziri akiwa mshiriki Mkuu....
Promota ambae ana mkataba na Azam TV ..kanyang'anywa pambano lake la Mwakinyo na Mgana Allotey lilitakiwa kufanyika ijumaa ukumbi WA warehouse Masaki na lioneshwe Azam TV na limetangazwa mwezi mzima...badala yake promota mwingine akaliiba Hilo pambano limekuja fanyika Jumamosi.. ukumbi huo huo na likaonyeshwa na Millard Ayo TV....yaani jana...huku wale wote tuliolipia king'amuzi azam TV tukiwa tumetapeliwa kisa tu mapromota wanaibiana waziri kupitia kamisheni ya ngumi aliyoiunda mwenyewe baada ya kuivunja ile iliyokuwa inasimamia vizuri na kuchaguliwa na wadau ...
Huyu Waziri hafai hata kuwa mjumbe WA serikali ya mtaa
Hapa sasa unamnyanyapaa na mdogo wangu GENTAMYCINE, the King of all Popomaz!Ulishaona wapi mtu mfupi, mwenye macho makubwa na hana shingo akawa na akili?
Jamaa mweupe Sana kichwaniAfu jamaa anabahati sana anashika vitengo vizito vyote mara waziri wa katiba na sheria dah
Waziri anatakiwa kusahihisha mapungufu ya naibu wake...wote hawafai lakin waziri Yuko more responsibleWote na Naibu wake hawafai na waondolewe . Nakumbuka Bodi ya ngumi za kulipwa Tanzania iliwahi kumpa adhabu Mwakinyo lakini Mwana FA alitumia kofia yake kama Naibu Waziri Hadi Ile adhabu ikabatirishwa za ndaaaaani ni kuwa wawili hao ni mtu na meneja wake.
Kumbe walipigana jumamosi?nani alishinda?maana sina habari kama pambano hilo lilifanyikaWaziri Ndumbaro hafai popote huku kwenye michezo ndo hafai hafai kabisa analeta migogoro na anazidi kuharibu...