Waziri Ndalichako: Imebainika wanafunzi 2,619 walisajiliwa vyuo viwili tofauti huku wakilipwa mikopo

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
DSCF2602.jpg

Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ametangaza kiama kwa watendaji wote wa Bodi ya Mikopo waliofanya ubadhirifu wa fedha za wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa kuwapa watu wasiohusika.

Joyce ameyasema leo wakati akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam leo. amesema kuwa bodi ya mikopo baada ya kufanya ukaguzi maalum katika hoja 17 ni hoja moja imepata majibu na kuzaliwa dosari zingine ambazo kutokuwa na mfumo wa kuhifadhi kumbukumbu kwa watu ambao wanarejesha mikopo.

Amesema kuwa kutokana na matatizo ya bodi ya mikopo ameigiza bodi kuhakikisha wanachukua hatua kwa watendaji wote waliosimamishwa ikiwemo kuwafikisha vyombo vya dola.

Joyce amesema kuwa katika dosari nyingine wanafunzi zaidi 2,000 wamepewa mikopo katika vyuo viwili lakini wanafunzi hao hawapo katika vyuo vilivyotajwa.

Amesema kuwa kuna wanafunzi wanalipwa sehemu mbili ya mikopo ya bodi kwa Tanzania Bara na Zanzibar kwa wakati mmoja huku kuna wanafunzi hawapati mikopo kabisa na watoto wa masikini.

Aidha amesema bodi hiyo inatakiwa kufanyia kazi dosari zote pamoja na hatua ambazo wamezichukua kwa baadhi ya watendaji ambao wamefuja fedha za walipa kodi.

Joyce amesema kuwa matatizo mengine ni Baraza la Usajili wa vyuo vya Elimu na ufundi (NACTE) kufanya kazi kazi ambazo wao wenyewe hawana uwezo nazo ikiwemo kukagua baadhi ya vyuo ambavyo vingine vinatoa digrii ya pili.

Amesema yote wanaangalia kwa kupitia sheria na kuona jinsi ya kuboresha utendaji kazi kwa NACTE kufanya kazi kwa uwezo unaostahili.
 
View attachment 356749

NACTEwabaki na vyuo vya diploma na certificate wafanye kazi sambamba na veta. sio kazi wanayofanya.
 
Kuna mdogo wangu ameambiwa afuate vyeti original wakaguzi wanakuja kuwakagua. Anyway tunahitaji elimu bora ila tuthamini na muda wa hao wanaonekana hawana sifa kwenye hii awamu ilihali awamu zilizopita walionekana wana sifa, haki itendeke,
 
Hiii bodi imeoza.....nakumbuka wakati inaanzishwa ilipingwa na wadau wa elimu.....nashauri mhe..
aifutilie mbali turudi kwenye utaratibu wa awali
 
Hawa watu wa Bodi ya Mikopo walikuwa wakiishi kama vile wako Ulaya.

Kuna Bidada mmoja ni kigogo kwenye hiyo Bodi ananyumbu karibu 10 Dareslaam hii. Jamaa wamezipiga sana enzi za Mkwere, Nadhani umefika muda wa kuzirejesha na kuishi kama Mashetani!!!

Wacha waisome Namba

BACK TANGANYIKA
 
Mama ndalichako tusaidie huu ujinga ukome kwenye elimu yetu sasa lazima wahusika wote wakalishe chini kabisa.
 
utaona kuna watu wanakuja na mapovu kutetea huu uozo elimu siyo ya kuchezewa na kugeuzwa siasa hawa watu wanafundishwa ufisadi toka wanasoma halafu wakiingia kwenye system ndio wanavuruga nchi nzima
 
Haya mambo wengine tuiyasema miaka karibu nane nyuma; tukaweka na ushahidi... hatimaye Serikali ya Wanyonge imeingia na sasa inaenda kushughulikia uozo huu; siyo tu hilo.. watendaji wa Bodi hiyo wachunguzwe akaunti zao na za watu wao wa karibu.. kuna watu wanatakiwa wawe wa kwanza kufikishwa mahakama ya ufisadi na uhujumu uchumi.. a.k.a Mahakama ya Mafisadi!
 
View attachment 356749

Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ametangaza kiama kwa watendaji wote wa Bodi ya Mikopo waliofanya ubadhirifu wa fedha za wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa kuwapa watu wasiohusika.

Joyce ameyasema leo wakati akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam leo. amesema kuwa bodi ya mikopo baada ya kufanya ukaguzi maalum katika hoja 17 ni hoja moja imepata majibu na kuzaliwa dosari zingine ambazo kutokuwa na mfumo wa kuhifadhi kumbukumbu kwa watu ambao wanarejesha mikopo.

Amesema kuwa kutokana na matatizo ya bodi ya mikopo ameigiza bodi kuhakikisha wanachukua hatua kwa watendaji wote waliosimamishwa ikiwemo kuwafikisha vyombo vya dola.

Joyce amesema kuwa katika dosari nyingine wanafunzi zaidi 2,000 wamepewa mikopo katika vyuo viwili lakini wanafunzi hao hawapo katika vyuo vilivyotajwa.

Amesema kuwa kuna wanafunzi wanalipwa sehemu mbili ya mikopo ya bodi kwa Tanzania Bara na Zanzibar kwa wakati mmoja huku kuna wanafunzi hawapati mikopo kabisa na watoto wa masikini.

Aidha amesema bodi hiyo inatakiwa kufanyia kazi dosari zote pamoja na hatua ambazo wamezichukua kwa baadhi ya watendaji ambao wamefuja fedha za walipa kodi.

Joyce amesema kuwa matatizo mengine ni Baraza la Usajili wa vyuo vya Elimu na ufundi (NACTE) kufanya kazi kazi ambazo wao wenyewe hawana uwezo nazo ikiwemo kukagua baadhi ya vyuo ambavyo vingine vinatoa digrii ya pili.

Amesema yote wanaangalia kwa kupitia sheria na kuona jinsi ya kuboresha utendaji kazi kwa NACTE kufanya kazi kwa uwezo unaostahili.

Jitihada kama hizi watakuja chadema chini ya Mbowe, Lisu, Zito &Co. watapinga na kusema ni udikteta, hawa watu ni mapsychopath!
 
Rais akiongea kwa maslahi ya taifa
Mijitu mingine inakuja na kuropoka ni dikteta

Magu kaza tu usife moyo ndio changamoto hiyo kuongoza Mizigo ni kazi
Nani alizalisha mizigo maana tangu tupate uhuru ntawala ni mmoja tuuuh.
Ebu tujaribu kueshimu chama chetu na serikali yetu pendwa please.
 
Hhhhhhh. Hiyo ndiyo Ccm bhana, watoto wetu maskini hakuna mkopo lakini nyie mnagawana hela zetu. Mungu atawaona

haya bas kama ni ccm km ulivyosema ngoja tuwatimue waende mahakamani kama walivyoshauriwa na lisu kwani siku hizi lissu anatetea ccm
 
Back
Top Bottom