Huyo atacheka tuuwaziri akikata simu unampigia aliyemteua.
Leo asubuhi hii (Morning Magic-MagicFM) waziri wa michezo Nchimbi kapigiwa simu, kaulizwa inakuwaje
juzi uwanjani neti(nyavu) ilikatika ikabidi ifungwe katani(ilichukua zaidi ya dk 5 kufunga katani) na fainali yake jana
umeme umekatika, tunaomba maelezo yako!! Aaagh Jamaa akakata simu!!
Hii aibu sijui nani atai-handle!!
Dah! ..sikujua kwamba ni moja wapo ya majukumu ya waziri katika serikali ya Tanzania mwenye dhamana ya michezo kuhakikisha kwamba nyavu za magoli zimefungwa sawasawa au kama standby generator ya uwanja wa taifa iko operational, sikulijua hili.
...mkuu waziri na kuchanika kwa nyavu za goli?Mkuu ilipokuwa inasisitizwa waziri wa ulinzi ajiuzulu baada ya mabomu ya mbagala ni jukumu lake kutunza mabomu au kujua yanaeksipaya lini?