Waziri nchimbi hivi unajua hili

Waziri nchimbi hivi unajua hili

Wizobaby

Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
41
Reaction score
8
Mpaka leo tarehe 15 mwezi wanne askari polis mkoa wa morogoro hawajapata posho yao tarehe 15 mwez wa 3 je wakale wap au ndo kuwatia majarbun yakujiingiza kwenye vtendo vya rushwa?
 
Mpaka leo tarehe 15 mwezi wanne askari polis mkoa wa morogoro hawajapata posho yao tarehe 15 mwez wa 3 je wakale wap au ndo kuwatia majarbun yakujiingiza kwenye vtendo vya rushwa?

Waendelee tu na rushwa zao na kupiga walimu risasi za mgongoni kama pale njombe.,, natoa wito warushe vitu vizito vyenye ncha kali kutoka pande zisizojulikana posho itakuja.
 
pamoja na kukosa mishahara wakiambiwa na ccm wakapige raia na kuwaua walivyo vilaza wanaenda wakati wakifanya hivyo bado maisha yao yanaendelea kuwa duni pamoja na kutumika vibaya.
 
Khaa..nkwani wameacha kupokea rushwa ....?
 
Back
Top Bottom