Akisitisha naenda kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka kama wasemavyo Wazaramo ) Mubashara tena Mchana kweupe pale MP1 Lugalo Makongo.Kama kweli Yuko serious na msamaha asitishe ununuzi wa mashangingi
Msamaha una radha yake ya kuonwa jamani. Au mnasemaje?hivyo ameomba kusamehewa
🤣Waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba wakati akibanwa maswali na wananchi huko Sirari amesema yeye pamoja na viongozi wenzake serikalini ni binadamu tu kama wengine hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani hivyo ameomba kusamehewa kwenye hili swala la tozo na ameunda timu ya kupitia upya namna tozo zinavyokusanywa na kuumiza wananchi.
Nimerudia clip hiyo zaidi ya mara tatu, Amesema wao ni binadamu, hivyo hufanya makosa.Waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba wakati akibanwa maswali na wananchi huko Sirari amesema yeye pamoja na viongozi wenzake serikalini ni binadamu tu kama wengine hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani hivyo ameomba kusamehewa kwenye hili swala la tozo na ameunda timu ya kupitia upya namna tozo zinavyokusanywa na kuumiza wananchi.
View attachment 2355228
Akikosea na kukubali kakosea, aende Burunfi.Waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba wakati akibanwa maswali na wananchi huko Sirari amesema yeye pamoja na viongozi wenzake serikalini ni binadamu tu kama wengine hivyo lazima watafanya makosa kwenye maamuzi fulani hivyo ameomba kusamehewa kwenye hili swala la tozo na ameunda timu ya kupitia upya namna tozo zinavyokusanywa na kuumiza wananchi.
View attachment 2355228