Waziri Nape alipomtembelea Diamond Platinumz

Kiukweli kutomchukia Diamond kunahitaji roho yenye upako... hapa ndipo ninapowaelewa wale wooooooote wanaomchukia jamaa!!! Thamani ya hiyo office table na hivyo viti pamoja na kabati pekee, ni kodi ya ghetto ya miaka 2 ya majority ya wana-JF wanaomkashifu Diamond kwamba hajasoma na eti Mswahili!!
Wanajitafutia magonjwa ya moyo na shinikizo la damu na presha
 
Wanajitafutia magonjwa ya moyo na shinikizo la damu na presha
Ushauri kama huo nimekuwa nikiutoa hapa jamvini kwa takribani miaka 3 sasa; kwamba, hata kama jamaa unamuona hajui lakini kujaribu kumchukia ni kujitafutia magonjwa ya moyo bila sababu manake kila wakati utapata taarifa njema kwake lakini zinazomkwaza hater!
 
Shigongo analalamika hakulipwa lakini tujuavyo Diamond alifanya kazi sana ya ccm wakati wa kampeni lakini halalamikii malipo!! Je yeye alikuwa anajitolea au yeye alikwisha lipwa? Kumbukeni kuwa mkweree ni promoter mkubwa wa Diamond!!
 
Kawaida ukipokea mgeni kiongozi wako unatakiwa kutoka nyuma ya meza yako na kukaa nae kwenye makochi pembeni muongee, Diamond alichofanya ni utovu wa nidhamu na kujisikia.
 
Kawaida ukipokea mgeni kiongozi wako unatakiwa kutoka nyuma ya meza yako na kukaa nae kwenye makochi pembeni muongee, Diamond alichofanya ni utovu wa nidhamu na kujisikia.
Halafu kuna tofauti kati mtu aliyekutembea na anayehitaji huduma.. ni kweli wangekaa aidha katika kochi
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hicho kimong'omong'o ni ishara tosha ya u freemason wa huyo jamaa
 
ila diamond oficine alitakiwa avae sut lakin kama alijua mheshimiwa anakuja ila kama kashitukizwa sawa
 
Dr Magufuli mda si mrefu nae ataenda kumtembelea diamond!

Hivi waliomaliza shule moja na diamond na kuendelea kusoma na wameajiriwa serikalini au sector binafsi hvi watakuwa na mafanikio ya diamond? Hapa ndiyo napo ona shule haina umuhimu!

Nna mpango wa kurudisha vyeti vyangu chuoni nikarudishiwe ada yangu hata nusu
Tuliambiwaga elimu ni ufunguo maisha tukaamin ila in real world elimu inaweza ikawa kufuri la kudumu kisa una degree huwez kuosha magar na majamaa wanaosha magar pale mjini kat wanamek mpala 40k per day
 
Mbona alipo mtembelea Barinaba boy classic hamkusema ....au ndiyo mbwa kumung'ata mtu ni kawaida ila mtu kula mbwa ni story zaidi
 
Kawaida ukipokea mgeni kiongozi wako unatakiwa kutoka nyuma ya meza yako na kukaa nae kwenye makochi pembeni muongee, Diamond alichofanya ni utovu wa nidhamu na kujisikia.
Kwahiyo mlitaka akae kwenye makochi ili mseme siyo ofisi yake?

Diamond hakuna alichokosea hata angekaa juu ya meza na kuongea na mgeni wake ni sawa tu, mimi binafsi sioni tatizo.
 
Kwahiyo mlitaka akae kwenye makochi ili mseme siyo ofisi yake?

Diamond hakuna alichokosea hata angekaa juu ya meza na kuongea na mgeni wake ni sawa tu, mimi binafsi sioni tatizo.
Tatizo siyo kujionyesha naongelea heshima kwa waziri wake, nadhani Mh Nape hakushtukiza kumtembelea pale, alifanya appointment, avae vizuri basi kubeba image yake, pia kumpokea na kukaa nae kwenye makochi pembeni, hata rais mstaafu Mwinyi alipotembelewa na Michael Jackson hakukaa nyuma ya meza kama Diamond.
 
Hiyo ofisi ina ukubwa gani bwana mdogo? Ungesifia furniture za ofisi angalau ningekuelewa, wenye ofisi kubwa ni kina Nimrod Mkono wanaochukuwa floor nzima ya PPF Tower
Lakini wasanii wenzake wameshindwa hata kuwa na ofisi ya aina yake,tena wengine wameanza kitambo zaidi kuliko yeye.
 
Ofisi kubwa wapi bhana,kabati na viti bya mchina hivyo,milioni moja unajaza vyote hivyo sema yeye kwa kazi yake ya "upunda" amemudu
Hahaha....eti upunda though wenzake wamefanya upunda kitambo mpaka wamekuwa wateja lakini hata hako kaofisi kadogo wameshindwa kuwanacho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom