Waziri Nape afanya Ziara ya Kushitukiza Kariakoo, akamata kazi feki za sanaa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,720
55,858
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye aongoza timu yake katika operesheni maalumu ya kufanya msako mkali wa wauzaji wa kazi za wasanii bila vibali vya Bodi ya filamu ya Tanzania.

Waziri huyo amevamia maduka yanayouza CD FEKI pamoja na ofisi ambayo inajihusisha na kurudufu kazi za wasanii kutoka ndani na nje ya nchini.

Hii ni ziara ya Pili kuifanya Kariakoo. Ziara ya kwanza ya kushitukiza aliifanya July 15, 2016 ambapo aliwataka wauzaji wa CD kote nchini kufuata sheria ya kuuza CD zenye stika huku akisema mtu yoyote ambaye atakutwa na CD ambayo haina stika mnunuaji na muuzaji wote watakamatwa. Operesheni hizi zinafanywa kwa lengo la kutokomeza uharamia wa bidhaa za filamu na muziki kwa kuokoa pato la TAIFA.
5367cc3b-770e-4236-a2c2-8dd2372abfca.jpg
15117344-a4ae-4b85-a64e-b9064b64a88c.jpg
8989e6ad-9fe2-4723-b2a9-563ea98a561c.jpg
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia bidhaa za filamu na muziki zilizofeki leo hii.

Amesema Seikali itawachukulia hatua za kisheria ikiweemo kuwafutia leseni wauzaji na wasambazaji wa filamu nchini ambao wamekuwa wakiuza bidhaa hizo bila vibali kutoka kutoka mamlaka husika jambo ambalo likiikosesha serikali mapato pamoja na kuchangia momonyoko wa maadili katika jamii.
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye aongoza timu yake katika operesheni maalumu ya kufanya msako mkali wa wauzaji wa kazi za wasanii bila vibali vya Bodi ya filamu ya Tanzania.

Waziri huyo amevamia maduka yanayouza CD FEKI pamoja na ofisi ambayo inajihusisha na kurudufu kazi za wasanii kutoka ndani na nje ya nchini.

Hii ni ziara ya Pili kuifanya Kariakoo. Ziara ya kwanza ya kushitukiza aliifanya July 15, 2016 ambapo aliwataka wauzaji wa CD kote nchini kufuata sheria ya kuuza CD zenye stika huku akisema mtu yoyote ambaye atakutwa na CD ambayo haina stika mnunuaji na muuzaji wote watakamatwa. Operesheni hizi zinafanywa kwa lengo la kutokomeza uharamia wa bidhaa za filamu na muziki kwa kuokoa pato la TAIFA.
View attachment 471364 View attachment 471365 View attachment 471366 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia bidhaa za filamu na muziki zilizofeki.
Agenda ya viwanda vipi?
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye aongoza timu yake katika operesheni maalumu ya kufanya msako mkali wa wauzaji wa kazi za wasanii bila vibali vya Bodi ya filamu ya Tanzania.

Waziri huyo amevamia maduka yanayouza CD FEKI pamoja na ofisi ambayo inajihusisha na kurudufu kazi za wasanii kutoka ndani na nje ya nchini.

Hii ni ziara ya Pili kuifanya Kariakoo. Ziara ya kwanza ya kushitukiza aliifanya July 15, 2016 ambapo aliwataka wauzaji wa CD kote nchini kufuata sheria ya kuuza CD zenye stika huku akisema mtu yoyote ambaye atakutwa na CD ambayo haina stika mnunuaji na muuzaji wote watakamatwa. Operesheni hizi zinafanywa kwa lengo la kutokomeza uharamia wa bidhaa za filamu na muziki kwa kuokoa pato la TAIFA.
View attachment 471364 View attachment 471365 View attachment 471366 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia bidhaa za filamu na muziki zilizofeki leo hii.
Mkuu nakupa hongera sana kwani una tu up date sana
 
Yaani sasa wasanii watalia njaa sana, angalau zamani watu walikuwa waanangalia hizo CD bandia halaffu wanaenda kununua part 2 yake. Sasa hivi hakuna anaehangakaika kuzinunua kazi za wasanii wetu, watu wengi sasa wanaangalia filamu za nje ambazo zimetafsiriwa kiswahili. Kazi za wasanii wetu ni mbaya hazina ubunifu wowote, huwa nashangaa hata huo umaarufu/pesa wanapata wapi.
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye aongoza timu yake katika operesheni maalumu ya kufanya msako mkali wa wauzaji wa kazi za wasanii bila vibali vya Bodi ya filamu ya Tanzania.

Waziri huyo amevamia maduka yanayouza CD FEKI pamoja na ofisi ambayo inajihusisha na kurudufu kazi za wasanii kutoka ndani na nje ya nchini.

Hii ni ziara ya Pili kuifanya Kariakoo. Ziara ya kwanza ya kushitukiza aliifanya July 15, 2016 ambapo aliwataka wauzaji wa CD kote nchini kufuata sheria ya kuuza CD zenye stika huku akisema mtu yoyote ambaye atakutwa na CD ambayo haina stika mnunuaji na muuzaji wote watakamatwa. Operesheni hizi zinafanywa kwa lengo la kutokomeza uharamia wa bidhaa za filamu na muziki kwa kuokoa pato la TAIFA.
View attachment 471364 View attachment 471365 View attachment 471366 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia bidhaa za filamu na muziki zilizofeki leo hii.

Amesema Seikali itawachukulia hatua za kisheria ikiweemo kuwafutia leseni wauzaji na wasambazaji wa filamu nchini ambao wamekuwa wakiuza bidhaa hizo bila vibali kutoka kutoka mamlaka husika jambo ambalo likiikosesha serikali mapato pamoja na kuchangia momonyoko wa maadili katika jamii.
Sijaelewa,
Huko Kariakoo ameenda kufanya kazi za Chama au za kiserikali??

Ref : Baadhi ya viongozi wa CCM kwenye ziara za kiserikali mnaboa!
 
Yaani sasa wasanii watalia njaa sana, angalau zamani watu walikuwa waanangalia hizo CD bandia halaffu wanaenda kununua part 2 yake. Sasa hivi hakuna anaehangakaika kuzinunua kazi za wasanii wetu, watu wengi sasa wanaangalia filamu za nje ambazo zimetafsiriwa kiswahili. Kazi za wasanii wetu ni mbaya hazina ubunifu wowote, huwa nashangaa hata huo umaarufu/pesa wanapata wapi.
Ishu ni kwamba Hata hizo zilizotafsiriwa zinakamatwa!
 
Back
Top Bottom