Kwa huyo waziri naona mama yetu kama kaingizwa king na washauriTuanze kuwajibishana mapema kama tunavyopigwa mapema mno
Mbwa c ndiye anayenusa,kwanini asilaumiwe kukamata jogoo badala ya kicheche cha msoga.Mfuga mbwa ameonyesha pori tu.Mnamlaumu mbwa badala ya mfuga mbwa
Mfuga mbwa anamjua mbwa wake vizuri kama mbwa mwizi anauliwa.ukiona mwenye mbwa yuko kimya ujue katumwaMbwa c ndiye anayenusa,kwanini asilaumiwe kukamata jogoo badala ya kicheche cha msoga.Mfuga mbwa ameonyesha pori tu.
Anamuonea huruma mwizi?Ukitaka asilaumiwe, mshauri. aturudishie umeme haraka. Awe muwazi kwenye matumizi yote ya wizara yake.Kama hawezi kazi, ajiuzuru tumuweke mjeshi, atayeinyoosha hiyo wizara kuirudisha kwenye viwango.
Nyingine ni ya maji, mawasiliano (tozo), kilimo (bei za pembejeo)
Wapo wanochapakami wa Tamisemi, Ulinzi, mamboya nje, madini huwasikii sana.
Nchi hii wengi wanapigania matumbo yao ,hawajali wengineUkitaka asilaumiwe, mshauri. aturudishie umeme haraka. Awe muwazi kwenye matumizi yote ya wizara yake.Kama hawezi kazi, ajiuzuru tumuweke mjeshi, atayeinyoosha hiyo wizara kuirudisha kwenye viwango.
Nyingine ni ya maji, mawasiliano (tozo), kilimo (bei za pembejeo)
Wapo wanochapa kazi wa Tamisemi, Ulinzi, mamboya nje, madini huwasikii sana.
Halafu taifa kimya!,si waandishi wa habari za kiuchunguzi wote ganzi tuhuu ni ufisadi wa nje nje, haiwezekani miundo mbinu iwe mibovu alafu ukimbilie satelite badala ya kutengeneza miundo mbinu