Waziri na Bodi ya Nishati mlianza kwa kutupiga Tshs bilioni 65 kwa kufunga rada wakati hakuna umeme wa uhakika

wakatanta

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
2,593
3,147
Waziri January Makamba ulipoingia wizarani baada ya kuunda bodi ya wakurugenzi haikupita muda mkaingia mkataba wa dola million 30 na kampuni ya kihindi ya Mahendra kwa ajili ya setelite.

Huu ni wizi wa mchana kabisa tena wa mapema ukifumbiwa macho na utawala.

1. Kama miundo mbinu mibovu inahitaji ukarabati, setalite ilikuwa priority? Au fedha hiyo ingetumika kukarabati kwanza so said miundo mbinu chakavu?

2. Kama hatuna umeme wa uhakika, kwanini fedha hiyo isingetumika kuongezea uzalishaji umeme?

3. Hiyo setelite haikuwa kipaumbele bali ni maslahi binafsi ya kwako na bodi yako.

Naomba mamlaka zichunguze kwa makini kuhusu mkataba huu wenye harafu ya kifisadi, mabingwa wanachukua chao mapema mno
 
Mimi naona hapa watu wana visa personal na Bwana Makamba,maana haiwezekani threads kila siku mjadala ni yeye, kwani wizara zingine vipi hazina issue za kujadiliwa?

Roho mbaya ni stage ya awali ya uchawi.
 
Ukitaka asilaumiwe, mshauri. aturudishie umeme haraka. Awe muwazi kwenye matumizi yote ya wizara yake.Kama hawezi kazi, ajiuzuru tumuweke mjeshi, atayeinyoosha hiyo wizara kuirudisha kwenye viwango.

Nyingine ni ya maji, mawasiliano (tozo), kilimo (bei za pembejeo)

Wapo wanochapakami wa Tamisemi, Ulinzi, mamboya nje, madini huwasikii sana.
Anamuonea huruma mwizi?
 
Ukitaka asilaumiwe, mshauri. aturudishie umeme haraka. Awe muwazi kwenye matumizi yote ya wizara yake.Kama hawezi kazi, ajiuzuru tumuweke mjeshi, atayeinyoosha hiyo wizara kuirudisha kwenye viwango.

Nyingine ni ya maji, mawasiliano (tozo), kilimo (bei za pembejeo)

Wapo wanochapa kazi wa Tamisemi, Ulinzi, mamboya nje, madini huwasikii sana.
Nchi hii wengi wanapigania matumbo yao ,hawajali wengine
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom