Asilimia 98 ya serikali hii wana fikiria kwa kutumia vioungo tunavyokalia na kutolea haja either kubwa ama ndogo wakiongozwa na John Punguani Mbumbumbu
Mkuu kua na hekima na maneno yako... Bora ukae kimya kuliko kuchangia madaAsilimia 98 ya serikali hii wana fikiria kwa kutumia vioungo tunavyokalia na kutolea haja either kubwa ama ndogo wakiongozwa na John Punguani Mbumbumbu
Yaani ni Yale Yale ya sukari yanajirudia soon
Tulia dawa ikuingie wewe mfuasi wa MUNGU MakondaHuna adabu wewe,
Unataka serikali impe Dangote Makaa ya mawe bure? au Gas bure? Serikali ikikubali kumpunguzia bei ya makaa ya mawe au gas wengine nao watalalamika.
Sasa, kipi nafuu, Ununue Makaa hapa nchini au uagize Afrika kusini wakati sisi tunayo?
Acheni ushamba,,,, Huyo Dangote amekuwa Mungu sasa?
Hivi tangu Lissu awagaragaze policcm kwenye matumizi ya Ju.ma Pu.mba Ma.ha.rage imewabidi wawe wapole na kuacha kutafsiri hilo jina hapo kwenye red eeeh?Asilimia 98 ya serikali hii wana fikiria kwa kutumia vioungo tunavyokalia na kutolea haja either kubwa ama ndogo wakiongozwa na John Punguani Mbumbumbu
aendelee kuagiza tuu.... kwani hayo makaa kabla ya dangote alikua anauziwa nani....Sasa Unataka serikali ifanyeje?
Impe Makaa au Gas bure au?
au impe kibali aendelee kuagiza Afrika kusini wakati sisi tunayo? hizo ajira zote zife?