Waziri Mwijage: Kufungwa kwa kiwanda cha Dangote hakutaathiri upatikanaji wa sementi nchini


chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,383
Likes
15,446
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,383 15,446 280
Habari wakuu,..


Huu ni muendelezo wa kauli tata za viongozi wetu juu sintofahamu kubwa iliyopo kati ya Serikali na kiwanda cha mfanyabiashara mkubwa Dangote.


Kauli hiyo ameisema Waziri mwenye dhamana ya viwanda, Bw Charles Mwijage.

Nimeshangaa kuona kiongozi kama huyu kukosa hata simple theory ya mambo ya uchumi, yaani suala la Demand/Supply/Price.Ameshindwa kujua kiwanda cha Dangote kinachozalisha sementi kilifanya Suppy ya sementi uraiani kuwa kubwa, hali iliyopelekea Price au bei ya sementi hata kwa viwanda vingine kushuka kutokana na ushindani hivyo kupelekea watu wengi kumudu kununua sementi.


Badala yake ametujia na "NGONJERA" Ati kwamba sementi inapatikana tusijali, ameshindwa kutafakari kwamba baada ya Dangote kuondoka sokoni bei ya sementi iliyokuwa imeshuka itapanda na hata wananchi waliokuwa na matumaini ya kujenga watakwama.


Wananchi ndiyo tunaumia, tunaomba serikali imalize mvutano na huyu mfanyabiashara..Chanzo : TBC Taifa.
 
B

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Messages
1,209
Likes
2,070
Points
280
B

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2014
1,209 2,070 280
Hivi hakuna jambo lingine Muhimu Zaidi ya hili la Dangote? Tumechoka kujadili hili swala la Dangote, anunue Makaa yetu ya hapa ndani hataki aache, ulishaona mtu unajipangia bei unayotaka kuuziwa bidhaa? yaan anajipangia bei ya gas yetu eti auziwe kwa $ 4 :75? bei hii ni ya kuchimbia gas visimani sasa yeye anataka auziwe.

Ninachokiona hapa ni kwamba, Kuna Mawaziri wa serikali iliyopita na baadhi wa ya sasa ambao wana hisa huko ndio wanaotaka kumtikisa JPM, bwanae, hataki afunge kiwanda, hatuwezi kumbembeleza mtu kwa raslimali zetu, hataki afunge, kabla yake kwani tulikuwa hatujengi nyumba?

Kwanza, Nyati wanajenga kiwanda kingine Bagamoyo cha tani Milioni 3 kwa mwaka, hataki kutusikiliza na sisi aondoke...
 
B

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Messages
1,209
Likes
2,070
Points
280
B

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2014
1,209 2,070 280
Asilimia 98 ya serikali hii wana fikiria kwa kutumia vioungo tunavyokalia na kutolea haja either kubwa ama ndogo wakiongozwa na John Punguani Mbumbumbu
Huna adabu wewe,

Unataka serikali impe Dangote Makaa ya mawe bure? au Gas bure? Serikali ikikubali kumpunguzia bei ya makaa ya mawe au gas wengine nao watalalamika.

Sasa, kipi nafuu, Ununue Makaa hapa nchini au uagize Afrika kusini wakati sisi tunayo?

Acheni ushamba,,,, Huyo Dangote amekuwa Mungu sasa?
 
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Messages
3,718
Likes
4,722
Points
280
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2015
3,718 4,722 280
A holder of MBA
Yaani jaman huyu kapitia form six kweli?
Maana pale angesoma hata ECA au EGM au HGE asingejaribu kuongea sentensi ya ajabu kiasi hiki.
Hivi inawezekanaje mtu mwenye dhamana hii anaongea kama lay-man jaman!!!
 
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Messages
5,923
Likes
6,502
Points
280
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2008
5,923 6,502 280
Huna adabu wewe,

Unataka serikali impe Dangote Makaa ya mawe bure? au Gas bure? Serikali ikikubali kumpunguzia bei ya makaa ya mawe au gas wengine nao watalalamika.

Sasa, kipi nafuu, Ununue Makaa hapa nchini au uagize Afrika kusini wakati sisi tunayo?

Acheni ushamba,,,, Huyo Dangote amekuwa Mungu sasa?
Tulia dawa ikuingie wewe mfuasi wa MUNGU Makonda
 
Majighu2015

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
2,851
Likes
3,593
Points
280
Majighu2015

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
2,851 3,593 280
Rais alishasema siasa zimeisha ila naona kila siku siasa zinaongezeka. Hiyo ni hesabu ndogo tu halafu mtu anakuja kubwabwaja eti haiathiri kitu. Huyu waziri kasoma uchumi kweli au anabahatishabahatisha tu mambo. Bodi ya mikopo wamepandisha % kutoka 8 hadi 15,ni vigezo gani wamevutumia kupandisha? Vocha wanakata kodi, yani kila kitu ni kodi kodi kodi. Kama serikali imeishiwa fedha iseme wananchi tuichangie kuisaidia sio kuwaumiza wanachi bila sababu za msingi. Ila kama mawaziri wenyewe ndo hawa ambao hawawezi biashara na kufanya negotiations za maana wananchi tutakamuliwa hadi tujutie kuzaliwa Tanzania.
 
B

Bobuk

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
5,875
Likes
496
Points
180
B

Bobuk

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
5,875 496 180
Mbona hii serikali inekuwa na ndimi nyingi?

Jana 30/11/2016 taarifa ya habari ya ITV saa 2.00 usiku, huyu Mwijage nilimuona ITV, tena kwa kutuaminisha Watanzania alishika barua ambayo alidai kwamba imetoka kwa CEO wa Dangote. Eti barua hiyo ikieleza kwamba kiwanda cha Dangote, hakijasimamisha uzalisha wa cement. Ila kwasasa wanafanya matengenezo ya mitambo yao na kwamba hili ni jambo la kawaida kwa viwanda vinayoanza uzalishaji.

Sasa iweje leo 1/12/2016 hata kabla ya masaa 24 kupita, huyu huyu Mwijage anakuja tena na SOUND nyingine kwamba kiwanda cha Dangote kimesimamisha uzalishaji?

Ni waji.nga tu ndiyo wataamini kwamba Dangote akisimamisha uzalishaji, haitaathiri soko ya cement. Wakati huko Mtwara Dangote alipokuwa anazalisha cement, mfuko mmoja wa cement ulishafikia Tsh 11,500/-. Kusimamisha uzalishaji tu kwa week 1 tayari mfuko wa cement huko Mtwara umeshafikia Tsh 15,000/-.

Huyu huyu Mwijage ndiye anayesema kwamba ukiwa na cherehani 1 tayari ni kiwanda, ukiwa na mashine 1 ya kufyatua matofali tayari ni kiwanda. Kweli Tanzania tumempata Waziri wa Viwanda!
 
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Messages
3,738
Likes
4,717
Points
280
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2011
3,738 4,717 280
Nimeangalia clip yake akitoa ufafanuzi mbona tena simuelewi

"dangote inazalisha tan mil 3, Viwanda vyote vya cement nchini vinazalisha tan 8.7Mil. Dangote ni game changer sio mtu wa kupuuzwa" Mwijage

Kweli kazi yake ni kupiga Sound.
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,273
Likes
55,227
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,273 55,227 280
Nchi hii tunakosa siasa safi na uongozi bora
 
Manjagata

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
4,327
Likes
1,918
Points
280
Manjagata

Manjagata

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
4,327 1,918 280
Asilimia 98 ya serikali hii wana fikiria kwa kutumia vioungo tunavyokalia na kutolea haja either kubwa ama ndogo wakiongozwa na John Punguani Mbumbumbu
Hivi tangu Lissu awagaragaze policcm kwenye matumizi ya Ju.ma Pu.mba Ma.ha.rage imewabidi wawe wapole na kuacha kutafsiri hilo jina hapo kwenye red eeeh?
 
C

Comrade Kip

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
230
Likes
164
Points
60
Age
25
C

Comrade Kip

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2016
230 164 60
je kodi wanayopoteza???? si ndo hawa kila siku wanahimiza source za mapato ziongezeke...!!
hasara za kufunga kiwanda hiki ni nyingi kuliko faida...!!
 
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
8,553
Likes
6,660
Points
280
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
8,553 6,660 280
Ujinga bwana ni zaidi ya mzigo, kama walikuwa hawana haja na cement ya Dangote walimpa ardhi ya nini? si wangeacha wananchi waendelee kujinafasi kwenye ardhi yao? Vipi kuhusu ajira? Hawahitaji Dangote atoe ajira kwwa wazawa??! Watu wengine bwana sijui walisomaje huko shule.
 
C

Comrade Kip

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
230
Likes
164
Points
60
Age
25
C

Comrade Kip

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2016
230 164 60
Sasa Unataka serikali ifanyeje?

Impe Makaa au Gas bure au?

au impe kibali aendelee kuagiza Afrika kusini wakati sisi tunayo? hizo ajira zote zife?
aendelee kuagiza tuu.... kwani hayo makaa kabla ya dangote alikua anauziwa nani....

akiagiza atalipa import.... na akizalisha pia... na ajira... na kustabilize bei mitaani cause kutakua na competiton...

kuhusi gas ndo maana kuna negotiations katika biashara..... sasa watu wananegotiate kwa kupayuka na yye ataleta kiburi.,. anajua kua tanzania inamuitaji yye....kuliko yye anavyotuitaji ssi!!
 

Forum statistics

Threads 1,273,879
Members 490,535
Posts 30,494,902