Waziri Mwigulu mchemba alidanganya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Apr 1, 2023
13
9
Alisema malipo ya watu wa ukonga kipunguni. Wanaodai fidia ya malipo ya makazi Yao. Kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege watalipwa ndani ya mwezi mmoja lakini mpaka Sasa hakina chochote kilicho fanyika watu wanaishi Kwa taabu Sana. Na kushindwa kufanya maendeleo yoyote.

Mheshimiwa Rais wasaidie wananchi wako. Pia mkuu wa wilaya amezuia wananchi kufanya mkutano wowote. Watu wapo ktk mateso
 
Alisema malipo ya watu wa ukonga kipunguni. Wanaodai fidia ya malipo ya makazi Yao. Kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege. Watalipwa NDA I ya mwezi mmoja. Lakini mpaka Sasa hakina chochote kilicho fanyika watu wanaishi Kwa taabu Sana. Na kushindwa kufanya maendeleo yoyote. Mheshimiwa Rais wasaidie wananchi wako. Pia mkuu wa wilaya amezuia wananchi kufanya mkutano wowote. Watu wapo ktk mateso
Huyu ni mwongo sugu
 
Kwenye vitabu vya dini (i.e. Biblia) tumeandikiwa kuwa baba wa uongo ni shetani.

CCM ni baba wa uongo.
CCM ni ....

Unamuaminije baba wa uongo!!?
 
Back
Top Bottom