Waziri mwanry na ahadi za rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mwanry na ahadi za rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Jul 18, 2011.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mh. Mwandry alikiri mbele ya bunge kuwa ahadi za Rais hazitekelezeki. Zimejaa lukuki. Hii kali.
   
 2. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  ...bora kajisemea ukweli...kumbe Vasco da Gama II alikuwa anakurupuka kutoa ahadi hewa
   
Loading...