Waziri Mwambe: Kinachojengwa ni Bagamoyo Economic Zone Bandari ni sehemu ndogo tu ya huo mradi. Bandari itatumia hekta 800 tu kati ya 9800!

Tuweke vigezo, masharti yote wazi, upande wetu na wa wawekeaji. Simple, Win win situation wote tutakubali, upuuzi wa kuisadia, kuinufaisha familia moja tutakataa.
Ha ha haa kataa basi tuone makucha yako. Hiyo documents huwezi letewa wewe na wakiamua hunacha kufanya kama ilivyokuwa kwa uongozi uliopita na chakufanya huna CCM hoyee.
 
Kwanini Rais hajibu maswali ya Rais aliyepita na DG wa TPA hajibu maswali ya DG aliyepita.
 
Back
Top Bottom