comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Waziri wa Habari na michezo Dr Harrison Mwakyembe ni lazima alikua anaujua mkataba kati ya TBC na kampuni ya Star times inayoendeshwa na Wachina, kampuni hiyo ya ving'amuzi sidhani kama ipo sawa sawa kwa maslahi ya nchi,huenda ina mikataba isiyo na tija na faida kwa serikali sasa Waziri Mwakyembe asije akaleta utetezi wowote kwamba hajui mkataba na inapaswa auangalie upya na awawajibishe walioshiriki kuutengeza hasa wanasheria TBC, vinginevyo yeye na Mkurugenzi wa TBC wakaondolewa kwa maslahi ya Taifa.