Mjuu usizungumzie kitu usokijua.. Majuzi tu ameweka mktaba kuwalinda makampuni ya Canada yanayowekeza nchini kwa kutumia sheria za nje na huyu huyu miezi miwili ilopita alituambia anataka kufanya nini? sasa unataka kumjenga vipi ilihali ukweli tunauona..Kwa wanaoifahamu vyema wizara ya madini na nishati na mfumo mzima wa hujuma ndani ya TANESCO wanaelewa Prof. anachosema. Ukweli ni kwamba wizara hiyo haijawahi kumpata mtu wa aina ya Prof. Muhongo ambaye kwa sasa anashambuliwa toka kila upande ili aachie ngazi, awaachie mafisadi mwanya wa kupumua. Alichojaribu kukifunuaa Prof. ni "Tip of an iceberg" pole pole ukweli utajifungua na mkweli kuthibitika, kama si kaatika awamu hii ya serikali angalau ijayo.
Prof. Muhongo anahitaji kutiwa moyo na kupata "support" ya watanzania wotekwani si mnafiki kama baadhi tunaoamini ni "wachapakazi" kumbe ndani yao ni ufisadi mtupu!
Naamini kwamba waziri wetu wa nishati na Madini ni aina ya Mtu ambaye Tanzania inakaribia kuwapoteza. Ana tumia akili alizonazo,hashawishiwi kwa pesa na anafuata maadili yake. Tusiwe wajinga hongo iliyopo nishati na madini ni zaidi ya ndoto za wachangiaji kwenye Uzi huu. Tumpe support ndugu yetu HUYU na tuache kulaumu kwa sababu za udhaifu binafsi
Ndugu wana jamvi kama mlivyoona kauli ya spika kuwa waziri ni mwongo na asirudie tena kuwatuhumu watu wakat hana ukweli.
je Ana faa kuendelea kuwa waziri wakati ni mwongo?
kwa wasio na kumbu kumbu ya nyuma waziri alisema wabunge wamehongwa na makampun ya uuzaji mafuta ili kuyapendelea! Kamat imesema si kweli!!
Au kwa vile Tanzania kujiuzuru ni neno geni! Na haritumiki kwa serikali hii?
Mimi niliweka mada kama hii kwa kiingereza, Mods wameitrash probably
Mimi naamini kamati ya ngwilizi,makinda na wabunge wamesema uongo,namwamini prof. muhongo kwakuwa hata kama atadanganya sio kiasi kikubwa,bunge limeogopa kudhalilika lakini ukweli upo na wabunge wanaujua ukweli huo.
unajua mkuu Makinda na genge lake tunajua namna wanavyohangaika kupindisha ukweli na kwa kuwa Prof.Muhongo si mzoefu na mambo ya Bunge wametaka kumchezea tu mzee huyu.Lakini ukweli uko wazi,miaka iliyopita kipindi kama hiki tulikuwa tunalia juu ya mgao mkali wa umeme na ilikuwa taabu kujua kama nchi hii ina viongozi au la.Na bado naamini kuna watu wenye ushawishi na vitisho pale Tanesco bado wanaleta hujuma ili tu jamaa aonekane hafai.Tuanajua na mikakati yao ya kuvuruga mikakati mizuri anayoianzisha na kuitekeleza ili tu wao waendeleze wizi wao wa mchana kweupe..!!!Kweli kabisa, watu wazima tunaelewa
Mkuu toa evidence na si maneno ya mitaani kamayale ya Tume ya Ngwilizi. Nasisitiza kwamba he is a no nonsense man. Ingekuwa unalolisema ni kweli kwamba naye amesaini mkataba kama ule wa Karamagi kwenye Guest House kule London wabunge wangeshamshupalia na angeshajiuzulu. Kama una information zianike tumhukumu kwa haki na si kimtandao wa CCM au wabunge aliowaumbua kweupee!Mjuu usizungumzie kitu usokijua.. Majuzi tu ameweka mktaba kuwalinda makampuni ya Canada yanayowekeza nchini kwa kutumia sheria za nje na huyu huyu miezi miwili ilopita alituambia anataka kufanya nini? sasa unataka kumjenga vipi ilihali ukweli tunauona..
Ndugu wana jamvi kama
mlivyoona kauli ya spika kuwa waziri ni mwongo na asirudie tena
kuwatuhumu watu wakati hana ukweli.
Je Ana faa kuendelea kuwa waziri wakati ni mwongo?
Kwa wasio na kumbukumbu ya nyuma waziri alisema wabunge wamehongwa na
makampuni ya uuzaji mafuta ili kuyapendelea! Kamati imesema si
kweli!!
ok calm down mkuu,take it easy,its a serious issue which needs urgent attention.Waziri wa nishati na madini mbona unatifanya watanzania watoto wa dogo tusiojua kitu. Umeme bei juu leo tokea asubuhi unaenda kununua umeme unaambiwa netwrk mbaya na kuukata umeme kila leo inamaanisha nini si museme tuu kama kuna mgomo kila leo umeme unakatwa hata hapa ninapoandika umeme umekatwa hii nchi ya mashetani kweli bora niweke sola niondokane na hii adhabu ya kukosa umeme