Waziri Muhongo Mfukoni Mwa Lowassa


Shupavu na asiye na uwoga wa kuiba na kufisadi.
 

Elinawinga Acha Umalaya. Kama wewe gamba kuwa gamba, Tunamatatizo mengi ya kifisadi hamna fisadi ata-fix our problem.
 

Mkuu hujawaona tuu Mdee, Profesa Safari, Marando, Kiwango, Heche, Wenge, Mbowe, Lwakatare, Awenya, Dr. Mkumbo na wengine wengi tuu, pia kumbuka hatuhitaji baraza la mawaziri kubwa la kulaji kama la magamba mkuu. Kumbuka kama akina nyerere wangelikuwa wanadhani uongozi ni umri au mazoea ya kuongoza kama kama wewe basi tusingelipata uhuru.
 

MKUU KWA KASI YA UFISADI DHIDI YA RASLIMALI ZETU, MABADILIKO NI LAZIMA kama sio kwa kura naombea iwe hivyo sio kwa njia nyingine kwani Njia ya kwanza itaandelea kuuweka mstakabali wa taifa letu mikononi mwetu kwani ya pili itakuwa janga na laana kwetu sote.
 
Kwani wew unawajua wanachadema wote@ Ben Saanane,

Mwenye uzi, uwe unatoa sources na si vinginevyo mana CCM kwa makundi kama humpendi Sitta na Membe basi wew wa Lowassa tumuache mzee wa watu... Mulongo ni msomi anayejielewa na hawezi kwenda ku report kwa mtu amabaye si mkuu wake wa kazi unless wew una yako! Tuache majungu, fitina na chuki kwenye siasa, me nashangaa sana na nadhani hatutaweza kubadilika watanzania na kupata maendeleo kama hatutaacha siasa maji taka haijalishi nani atakuwa madarakani iwe chademu au ccm.
mfano, sijui amebeba sumu kumwekea nani, hii ni polisi case kwanin basi mhusika asiende polisi kama si uzushi na uzandiki na haya Lowassa pia ni mambo ambayo hayana kichwa wala mguu. nakubaliana na Mkapa ya kwamba kizazi hiki cha kina Nchemba namanisha wengi hata humu JF tunavitabia vinavyofanana na Nchemba na Nape na hii ni ushabiki wa kijinga na uzushi usio na manufaa kutoka vyama vyote chadema na hata ccm.

My take, Vijana tubadilika na la kuambiwa sikia na tafakari kabla ya kufanya chochote, think before you pen!!!
 
hivi xana linakukera etiii? ulivyokazania wacha watu wafurahie nuhuru wao wa mawasiliano ebooo
Kwa vyovyote utakuwa na matatizo kwenye ubongo, ni nani aliyeanza kukerwana uandishi wa wengine? Mbona wewe huwaachi wengine wakafurahia uandishiwao! Kweli nyani haoni kundule...
 
ndugu ulioweka huu uzi hapa, umeona ulimvyomfurahisha pasco, maana ana like tu, yani angekufahamu leo ungetambaa na bahasha ya kaki. subiri tuone 2015 ikifika nani ataapishwa hizi zingine ni porojo tu.
 

Hata mke wako yuko mfukoni kwa Lowassa.
 
Daah!haya bana!
 

wala usihofu , tutamng'oa lowasa , muhongo na ccm yote .
 
ewe mwananch mwenye kadi ya kupigia kura tunza sana kadi yako asije mwovu akainyakua siku ikifika
 

Acha porojo weka hapa huo waraka mzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…