Waziri Muhongo Mfukoni Mwa Lowassa

Hapa utani tuweke pembeni mimi ninavyoona inawezekana kabisa hii nchi Lowasa akapewa na mimi kweli akisimama yeye kura yangu anayo japokuwa niko upande wa pili,Lowasa anaweza akaamua kitu na hapindi na wala sio mwoga nakumbuka wakati akiwa waziri wa arithi alifanya maamuzi mazito japokuwa pia anapenda kuwekeza kila mahali nathani hivi sasa washauri wake wanamshauri aponguze kuwekeza na atoe zaidi sadaka ili asamehewe.Kweli yeye ni mchapakazi na hachoki.ngoja tuone na tuendelee kumwombea Mungu amlinde na kumpa nguvu awe mwenye afya tele.
 
Tujadili kuhusu nani atakayekabidhiwa nchi na LOWASA 2025 cz lowasa atachukua nchi kwa chama chochote wasioamin wataona.....
 
Alafu kuna huyu bwana mdogo anayejiita Ben Saanane anamuogopa sana lowasa amna uzi wa lowasa asiochangia..juz kat nliona uzi anadai anafuatiliwa sasa ata watanzania kum hawamfahamu nan amfatilie? mosi kwa lip 2. au kwa kutumiwa na wanaoutaka urais ndan ya CCM kuihujumu CHADEMA tuna dtail zake asjdanganye huyu dogo
 
Ma presdent is lowasa...2015 nitampgia kura,nitalinda kura zake, nitahudhuria sherehe zake za kuapshwa, mwsho stak anipe cheo chochote ninamchagua ili afufue matumaini ya watanzania yaliyozimia....
 
Makamanda hii inabidi tuwaache lumumba products wabishane wao kwa wao make hapo kuna kundi la EL na Membe. tuchungulie tumeguswa bahati mbaya ili tulipue makusudi.
 
Toka namsikia muhongo kwa mara ya kwanza sikumkubali na sito mkubali kamwe ni tatizo sana huyu mzee
 
Bw. Tunguli, sitajali sana jina lako! Kusema kweli umeonesha huna taaluma hata ya uongo. Umepewa pelemende ukaja kubwabwaja! Ningekuwa mimi ningekaa mezani na wataalam wa uongo wanitengenezee hata DRAFT ya uongo unavyoaswa kuwa!Au jamaa yangu nawe uliongezewa maksi na bunge? Kama ndivyo, waambie tena wakufanyie STANDIZATION!
 

Hawezi kuwa mfukoni kwa nyaraka zilizoibiwa, au Prof Muhongo anafanya kazi kwa maelekezo ya Lowassa?
 

Nonesense!

Unaweza kuthibitisha haya uliyoandika hapa?Kama wewe Mwanaume kweli njoo na ID yako verified na madai haya ukione cha moto.

-Huyo unayempigia debe mtaishia kumfariji tu muda ukifika.Subirini tuone.

Unadhani kila mtu ni kibaraka kama wewe
 
Mhhhh! Jasiri Lowassa anaonyesha ujasiri wake pamoja na kuwa hayumo katika baraza la Mawaziri. Ukipata bahati ya kunyofoa baadhi ya nyaraka hizo nzito na kuziweka hapa jamvini itakuwa poa sana.

 
Muhongo amenifundisha chuo kikuu. Nikishangaa sana huyu mtu alipopewa uwaziri na JK. Muhongo anajifanya kujua sana alafu ana kauli chafu sana.ni mropokaji. Mzee manywele ndio rais wao ngoja atakiona cha moto
 
acheni hizo Rais ajaye ni Dr. Slaa tu, huyu Ma Mvi hana lake safari hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…