Waziri mpya wa Elimu

amubadilishe Nape ampeleke wizara ya elimu afu hiyo ya habari apewe makonda maana makonda anapenda kuonekana na kusikika sana kwenye vyombo vya habari
 
Namkubali Dr. Kahangwa wa pale Udsm SOEd sema chama ndo kitamponza. Jamananaejua hali ya mgonjwa ndie muuguzaji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…