Hahahaha average mind like yours?Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
sema uko nyuma yake sio Tanzania ndugu!!! na siku zote nyota njema huonekana asubuhi si mchana wala jion na dalili za mvua ni mawingu na si jua!So keep ur mouth shut.!!!!!!!!!!!Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
Wewe itaa wenzako mavearage mind but your IQ is 0 megabyte. Hawa waheshimiwa wabunge hawawezi kukaa kimya Wakati nchi ikianguka kiuchumi l think you're living in another planet !Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao t ni wasaka tonge tu!
Wewe itaa wenzako mavearage mind but your IQ is 0 megabyte. Hawa waheshimiwa wabunge hawawezi kukaa kimya Wakati nchi ikianguka kiuchumi l think you're living in another planet !
swali bora la nwezi hiloEleza unachokijua wewe
(PhD) ndiyo inayokuzuzua?Kwamba Phillip Mpango (PhD) yuko sawa kabisa na hii nchi inamuhitaji!
Uwezo wako wa kuchambua masuala ni mdogo sana sana...nitazame tuPhillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
PhD za wabongo mzigo tuMmmhh wee Lusinde wewe acha kumpoteza waziri.
Tanzania ipi ipo nyuma ya mtu ambaye hana vision, aondoke tu.Phillip Mpango (PhD) nakuaminia, wewe piga kazi tu na usiwasikilize wanaopiga kelele, hao wote hakuna wanachokijua, Zito Kabwe hajui chochote kuhusu uchumi zaidi ya kusoma majarida ya Uchumi na Gesi ndiyo kujifanya mtaalamu wa Uchumi!
Huyu ni Mwanasiasa (Zito) ambaye amefika hapo alipo kwa kusema Uongo na kueneza Majungu tu, mpaka leo hii hakuna hata jambo moja la UKWELI alilowahi kulisema zaidi ya majungu na kuharibu career za watu, hivyo achana naye ni mnafiki na hakuna anachokijua!
Bashe ndiyo wala sitaki hata kumuongelea hivi, Bashe anajua nini kuhusu Uchumi kiasi cha kumpaka Waziri wetu? Au anafikiri kuendesha uchumi wa nchi ni sawa na kuendesha Mafiati ya Mafuta?
Wewe Waziri Mpango unajua na unafahamu unachokifanya hivyo piga kazi kuipeleka hii nchi mbele!
Mara nyingi watu wenye akili za kawaida huwachukuwa muda mrefu kuelewa mambo makubwa, isitoshe watu waliofanya mambo makubwa Dunia hii walipigiwa kelele na maaverage minds lkn waliendelea kufanya na leo hii wale wale waliokuwa wanapiga kelele ndiyo wa kwanza kufaidi matunda ya kazi ngumu ya great minds!
Phillip Mpango (PhD) Tanzania iko nyuma yako, naamini pia Raisi wa nchi yuko nyuma yako, ndiyo muhimu hao wengine ni wasaka tonge tu!
wewe unajua nin? Huna hoja acha kupiga keleleWote maaverage minds hao wana kipi wakijuacho? Bashe anajua nini kuhusu Uchumi?
Hata catalyst pia anayo phd(PhD) ndiyo inayokuzuzua?
Hata yule mkuu wa mkoa wa Moro alikuwa nayo
Tanzania ipi ipo nyuma ya mtu ambaye hana vision, aondoke tu.