gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,604
Unaweza kunionesha ni wapi kwenye katiba imekatazwa?Laa sivyo angetoa vifungu.
Unaweza kunionesha ni wapi kwenye katiba imekatazwa?Laa sivyo angetoa vifungu.
Au kumekuchwa?kumekucha
Sidhani kama haya yanatoka katika fikira na uwelewa wake, bali huu ndio welewa na mtazamo wa d.iktet.a uc.hw.ara. Ameagizwa akawapashe wapinzani na wananchi wanaopenda kuona haturudi nyuma kidemokrasia!PM uwezo wake ni wa kawaida sana! Ni mtu aliye sitahili kuwa Mkuu wa Wilaya
Kama una simu ya mchina usikurupuke kujadili ndiyo lilikua lengo langu. Hata mimi ilinibidi nibadilishe nilichoambiwa kabla kukipost maana nilifikiri mara mbili na kujiuliza kama kweli pm kayasema hayo. Mwanzo nikaamini nilifikiri kazipiga Kitwanga lakini nilipoisikiliza hiyo video nikaona jamaa mtoa mada anatumia udhaifu wa watu kama ninyi wenye vimeo vya simu kuandika uongo huku akijua mtamuamini sababu kaweka ushahidi. Basilica simu mkuu jamaa kadanganyaKujitofautisha na huyo unayemuita muongo basi wewe ungetuandikia huo UKWELI aliousema PM kwenye hiyo clip. Kumuita mtu muongo bila ya kueleza ukweli, wewe ndiyo unaonekana zuzu. Mind you wengine tuna simu za mchina hatuwezi ku download hiyo clip. Hivyo tunategemea maandishi.
Now the ball is in your court. Get real dude!
Unamlisha maneno PM na sijui kwanini unaamua kumdhalilisha kwa kumlisha maneno yasiyo yake! Alichokieleza mleta mada ndicho anachomaanisha PM. Na kama ulimsikiliza wakati akiongea na watz wanaoishi nchini Uingereza kuhusu sababu za serikali kuzuia matangazo ya bunge live huwezi kushangaa kuhusu kauli yake hii.Kama una simu ya mchina usikurupuke kujadili ndiyo lilikua lengo langu. Hata mimi ilinibidi nibadilishe nilichoambiwa kabla kukipost maana nilifikiri mara mbili na kujiuliza kama kweli pm kayasema hayo. Mwanzo nikaamini nilifikiri kazipiga Kitwanga lakini nilipoisikiliza hiyo video nikaona jamaa mtoa mada anatumia udhaifu wa watu kama ninyi wenye vimeo vya simu kuandika uongo huku akijua mtamuamini sababu kaweka ushahidi. Basilica simu mkuu jamaa kadanganya
Hujajibu maswali yaliyoulizwa, umeuliza mapya.Kwani waziri mkuu ana kesi mahakamani?
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema wapinzani wanajaribu kujenga taswira kuwa kuna kuminywa kwa demokrasia nchini jambao ambalo sio la kweli, amesema mbunge hawezi kutoa hoja bungeni na kuzipeleka mtaani zijadiliwe na wananchi
amesema katiba imetoa haki na kinga kwa wabunge kuhoji na kujadili utendaji wa serikali lakini kinga hiyo haijatolewa kwa mwananchi yoyote nchini
Anachosema ni kua mtoa mada hajateuliwa pm. Kuna baadhi ya lugha mbunge anaweza kuitumia kwa kinga ya Bunge lakini wewe na mimi hatuwezi. Nikupatie mfano Giggs aliweka court injunction jina lake lisitajwe ktk magazeti lakini kuna mbunge alilisema bungeni na hakuchukuliwa hatua huu mfano tu wa kukuelewesha nini Majaliwa alikimaanisha
mbona kawekewa maji hapo inamana mh. hashiriki mfungo??
Wacha kukurupuka wewe,.. bungeni ndio mbunge anaweza kusema chochote sheria inamlinda lakini huku uraiani akiropoka ovyo kama alivyofanya lissu ananyakwa tu.BWANA MAJALIWA NI MWANASHERIA? WAPI KATIKA KATIBA/SHERIA IMEKATAZWA WANANCHI KUJADILI YANAYOENDELEA BUNGENI? IF IT IS NOT PROHIBITED IT IS ALLOWED
Nina utaratibu wangu humu JF, nachagua wa kujibizana naye!Wacha kukurupuka wewe,.. bungeni ndio mbunge anaweza kusema chochote sheria inamlinda lakini huku uraiani akiropoka ovyo kama alivyofanya lissu ananyakwa tu.
Lione na hili, kwani bunge maana yake nini?Ndio maana ilianzishwa cyber law kwa sababu wengi wetu tulikuwa tunajipa ubunge wa kwenye mitandao na kuanza kuikosoa serikali wakati sio haki yetu. Tangu ianze kufanya kazi hii sheria nimekuwa nikiikosoa serikali kimoyo moyo .
Jela ,jela ni mateso in Ndanda kosovo's voice- Wajela jela original