Waziri mkuu wa Uingereza ampongeza JK

Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun

ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na

kukuza uchumi.

Source: Taarifa ya habari Mlimani TV.

My take: Kama Waziri Mkuu wa uingereza amemsifia Rais Kikwete, hawa akina Richard Brunwick

wanatoka wapi kueneza majungu na uchocheza katika mitandao?

Wamuulize Waziri mkuu wao awape ukweli badala ya kuzusha mambo.

sifa hizo zinamsaidia nini mwananchi wa kawaida?au mgonjwa aliyekosa huduma moi coz ya mgomo wa madaktari?
Hili ndilo tatizo letu tunapenda sifa za kijinga hatupendi ukweli.we mleta mada ulikuwa unataka kupinga ukweli wa richard kwa uzi huu ila umecheka.
Kweli itatuweka huru daima
 
Ndiyo. Hao ni makuwadi wa wapinga maendeleo ya Watanzania.

Wametumia mitandao kumwaga upupu wa kishetani dhidi ya JK na Tz yetu tukufu.

Nahisi wahuni hawa ni baadhi ya wana JF wanachama wa #$%&+, ... kutokana na mada zao za kizandiki.

Nikibahatika kuwafahamu,... nitawameza bila kuwatafuna.

Hizi ni kashfa kwa wanaJF, kwamba kuna walioshiriki katika kuandaa makala za kumchafua JK. This is serious.
Thibitisha kauli yako ndugu Ngoromiko na kama ukishindwa uifute na kuomba msamaha jukwaa, huku ni kulichafua jukwaa na kulishushia heshima.
 
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun

ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na

kukuza uchumi.

Source: Taarifa ya habari Mlimani TV.

My take: Kama Waziri Mkuu wa uingereza amemsifia Rais Kikwete, hawa akina Richard Brunwick

wanatoka wapi kueneza majungu na uchocheza katika mitandao?

Wamuulize Waziri mkuu wao awape ukweli badala ya kuzusha mambo.

Alichosifia ni zile takwimu za uongo.
 
@Kengemumaji, hivi kwa mfano kama mimi nakulisha wewe na mkeo na wanao halafu tutakutana mahali nikakusifia kwa jitahada zako za kukuza kilimo (kilimo ambacho bado hakitoshelizi) utaamini nimekusifia kwa dhati au nilimaanisha something unspeakable?

Labda nikuulize kwanini Cameroon hakumsifia kwa kukuza madini, mawasiliano, etc? Unaacha watu wangine wanaondoka na dhahabu, almasi tena bila hata ya kulipa kodi halafu wewe unapanda ndege kwenda kuhubiri kilimo? Hata mimi ningekusifia maana yataka moyo!

Mkuu pamoja na kiherehere changu ila kwa hapo umenifunga mdomo
 
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun

ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na

kukuza uchumi.

Source: Taarifa ya habari Mlimani TV.

My take: Kama Waziri Mkuu wa uingereza amemsifia Rais Kikwete, hawa akina Richard Brunwick

wanatoka wapi kueneza majungu na uchocheza katika mitandao?

Wamuulize Waziri mkuu wao awape ukweli badala ya kuzusha mambo.

PUMBAVU. hivi na wewe unakubali kweli kuwa kilimo kimekuwa? Ushenzi mtupu,aliposifiwa hapo ni sawa na mtu mfupi kumuita tall. Huyo cameroon anaye msifia kikwete alikwenda kijiji gani hapa tanzania akakuta kilimo kimewanufaisha wananchi wa mahali hapo,
huu ni ushenzi tupu, Supermarket Arusha kunauzwa vitunguu saumu kutoka china, yes kilimo kwanza my asssssss
 
Mkuu punguza jazba! Naimani amekupata. Hata hivo jana alikuwa wapi hakumsifia JK mpaka asubiri Camerun amsifie nae ndo akurukupuke, au nae ni mzungu worshiper anasubiri mzungu aseme nae apate pa kuegemea!
 
Cameroon ni wale wale... kilimo kipi kimekuwa.....

Hatuna Rais hapa hata.. ni Aibu kubwa sana.... Mimi kuna kitu najiuliza na sijawahi kupata jibu hivi wanaotakiwa kuona mabadiliko ya uchumi ni viongozi wa nchi au wananchi wake.........
 
Huyu atakua Binamu yake au ata shemeji yake au ata watoto wake weeeeengi kuna kati yao alieoa dadaake......kilimo kwanza kwa kuleta matrekta then yakaishia show room? Huyo CAMERON amewahi ata kufikiria kuja TZ sidhani ndo atupongeze kwa lipi? Angetusifia kwa DHAHABU,TANZANITE,ALMASI na GAS yetu kua tunafanya vizuri uko coz uko ndo kunalipa...laazima asifie kilimo ali msije mkamsumbua na chakula cha msaada km 2006
 
Yaani we mtoaji wa huu uzi umenichefua sana. Tanzania ina vijiji zaidi ya 500 na vitongoji vyake. Hivi nikikuuliza we umetembelea vijiji vingapi na kujiridhisha kua kilimo kwanza kimekua mpaka ukatingisha kichwa na kukubaliana na huyo mr. Cameroon utaniambia vingapi? Richard kitu gani pale ambacho amedanganya? Wewe ndo miongoni wa wale wale. FJM nakuunga mkono kwakumpa huo mfano mdogo uliojitosheleza kila kitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom