Waziri Mkuu wa Pakistan ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Pakistan ajiuzulu

Hali hii inapaswa kuwa katika katiba ya Tanzania na nchi nyingine za kiafrika vinginevyo demokrasia ya kweli na maendeleo itakuwa ni ndoto.
 
Amejiuzuru kwa hiyari yake au....ni baada ya kusimamishwa ubunge ambao ndio uliompelekea yeye kuwa waziri mkuu....!!?
 
Bahati mbaya sana wengi hawajui siasa za Pakistan na hoja si muhimili wa tatu kufanya kazi hoja hapa ni kuwa mahakama kuu ya pakstani ipo chini ya jeshi na jeshi la pakistan ndilo linanguvu kuliko serikali ni kama ilivyo kwa nchi ya Misri nguvu ya jeshi ni karibu 80% ya total power ktk nchi na jeshi la pakistan halipo tayali kuona raia anatawala au akipishana na jeshi akiendelea kuwa madarakani
Mpaka sasa hv pakistan kumeshapita mawaziri wakuu 18 na hakuna waziri mkuu hata mmoja aliyemaliza muda wake na huyu ndio angeweka record ya kumaliza muda wake madarakani lakini haikutokea hvyo kwani uchaguz ni mwaka kesho tu

Kwa kifupi ile nchi ipo chini ya jeshi.....na viongozi wa kisiasa wapo kama nembo tu.....lakini hawana nguvu kama ambavyo walivyo viongozi wa nchi zingine......

Kule mwanasiasa kujiuzuru wadhifa wake ni jambo la kawaida sana.....kwa kuwa anajua kitakachomtokea kama akikaidi kufanya hivyo.....
 
Back
Top Bottom