Laana na ikupate wewe ile aliyoitamka MUNGU kwa Ibrahimu kuwa atakayekulaani nitamlaani
kumchukia Myahudi ni kujitafutia laana ya maisha yako yote na vizazi vyako vyote watalaaniwa pia, Mungu aliishusha chini Urusi kwakuwa na chuki na Waisrael, nchi zote za kiarabu hazitakuwa na sauti juu ya raslimali yao (mafuta) kwasababu ya chuki zidi ya Israel, siku zote mafuta yao yatabakia mikononi mwa America na Ulaya, hauwezi kushindana na BWANA wa Majeshi na ukashinda.
Neno alilolitamka BWANA Mungu kwa Ibrahimu, Isaka, Yakobo (Israel) Musa, Yoshua na Daudi Mfalme bado li hai na linatenda kazi barabara katika ulimwengu huu wa sasa. Atukuzwe Mungu wa Israel na abarikiwe Israel maadui zake wote wataanguka mbele yake maana Mkono wa BWANA MUNGU u juu ya Israel kuilinda