Waziri Mkuu wa Israel kutembelea Afrika Mashariki

Cosmo 1

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
464
484
Waziri mkuu wa Israel kutembelea Afrika mashariki kuanzia kesho jumatatu. Ataanzia Uganda, na kisha kuelea Kenya na Rwanda.

Na atamalizia ziara yake nchini Ethiopia, na anategemea kuonana na marais sita wa Africa katika ziara yake?

Je ni kwanini Tanzania na Burundi hazitaembelewa na Waziri mkuu huyo?

Na je msimamo wa Tanzania kuhusu Mgogoro wa Israel na Palestina umebadilika ama upo kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma?
 
Waziri mkuu wa Israel kutembelea Afrika mashariki kuanzia kesho jumatatu. Ataanzia Uganda, na kisha kuelea Kenya na Rwanda. Na atamalizia ziara yake nchini Ethiopia, na anategemea kuonana na marais sita wa Africa katika ziara yake? Je ni kwanini TZ na Burundi hazitaembelewa na Waziri mkuu huyo? Na je msimamo wa Tanzania kuhusu Mgogoro wa Israel na Palestina umebadilika ama upo kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma?
Ebana mkali umetumia cha wapi?, AR nini? au Njombe!
 
Hatuwataki wayahudi hao waishie huko huko na nuksi zao...
Laana na ikupate wewe ile aliyoitamka MUNGU kwa Ibrahimu kuwa atakayekulaani nitamlaani
kumchukia Myahudi ni kujitafutia laana ya maisha yako yote na vizazi vyako vyote watalaaniwa pia, Mungu aliishusha chini Urusi kwakuwa na chuki na Waisrael, nchi zote za kiarabu hazitakuwa na sauti juu ya raslimali yao (mafuta) kwasababu ya chuki zidi ya Israel, siku zote mafuta yao yatabakia mikononi mwa America na Ulaya, hauwezi kushindana na BWANA wa Majeshi na ukashinda.

Neno alilolitamka BWANA Mungu kwa Ibrahimu, Isaka, Yakobo (Israel) Musa, Yoshua na Daudi Mfalme bado li hai na linatenda kazi barabara katika ulimwengu huu wa sasa. Atukuzwe Mungu wa Israel na abarikiwe Israel maadui zake wote wataanguka mbele yake maana Mkono wa BWANA MUNGU u juu ya Israel kuilinda
 
NON SENSE!!! Pack of Bullshit
 
Mh!! utajua tu kama ni none sense or senseful, sasa nyinyi watu wa allah na huyo mtume wenu tangu muanze kuilaani Israel mbona ndo kwanza inachanua na kutanuka, je hizo laana zenu mbona hazileti madhara yoyote? mbona hata mlipoizunguka kuipiga miaka ile hamkufanikiwa na kinyume iliwachakaza na hako ka umoja kenu ka oic? labda ngoja nikuhakikishie kuwa mipaka yote ya Israel ambayo Mungu alimuonyesha Musa itakombolewa tu iwe isiwe yaani kuanzia mto Jordan hadi milima ya golani mpakani mwa siria, Israel nchi ndogo sana lakini hakuna nchi au taifa lolote linaweza kusimama na kupigana na Israel na kushinda, nyie mtabakia kulaani tu nzuri zaidi laana zenu zinawageukia wenyewe na kuwatafuna.
 
Back
Top Bottom