themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
NomaaKujipeleka mbele kwenye mstari wa mapambano yasije yakamkuta ya idris deby wa chad
NomaSaga zima si alilianzisha yeye? Aliambiwa kuongea akakomaa. Huyu saizi ya wa Tigrayans. Wanamla kichwa asubuhi asubuhi.
Takbiiir.Naskia huko waziri mkuu wa Ethiopia ameingia front line kwenye mapambano na waasi wa Tigray, ila awe makini sana la sivyo atadondokea pua na hawa waasi kimasihara wanaweza fanya mambo makubwa yakaishangaza Dunia
Naona harufu ya hawa waasi kuna Mataifa yapo nyuma yao hii nguvu waliyonayo kuna mkono wa mataifa mengine ikiwemo wazungu na misri, waziri mkuu wa Ethiopia awe makini sana la sivyo atandikwa akiwa front line
Kitu kingine ni ugumu wa maisha wa watu wa Ethiopia unaweza changia watu kuigeuka nchi yao na kuwa waasi maana keki ta taifa inaliwa na wachache
Egypt anatupia mijegejo kwa hao waasi. Furaha yake ujenzi wa Bwawa usiendelee.Hao waasi peke yao hawamuwezi abby, wanapata jeuri from somewhere. Hakuna historia ya waasi kushinda vita bila kusaidiwa
Hivi deby vipi jamaniKujipeleka mbele kwenye mstari wa mapambano yasije yakamkuta ya idris deby wa chad
Saizi unasikia harufu gani?